@babachanja01:

Baba_Chanja
Baba_Chanja
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 07:35:30 GMT
105786
2745
166
122

Music

Download

Comments

said.kasanda
Said Kasanda :
ningekuwa mm wala nisinge sema vitu vingine ningesema muheshimiwa nisamehee
2026-07-17 14:27:28
39
youngzero186
mdogo_jax :
ILA MALAWI🙌🙌🙌
2026-07-17 14:44:05
19
emanuellucas910
ellucas910 :
mhhhhhh sio kweli tofali 100 chache sana apo apo tofali kuanzia msingi adi apo ni tofali 700
2026-07-17 18:34:55
6
godfreyjuma381
MR J :
mmh Engineer kweli 160 jaman bora ungesema 250🤣🤣🤣
2026-07-17 13:46:34
8
livingstonenjau
Njauliving🦜 :
million 11 kwenye ujenzi huo mbona sio mbaya sana
2026-07-17 18:44:25
5
ibn_abass...12
@Safakh__12 :
Cement mfuko mmoja unajenga zaid ya tofali 25.,
2026-07-17 14:34:31
2
allysharyph
Ally Sharyph :
apo angesema tu fundi ndio amekula milioni 8 kw ajili ya ujenz maan alikuwa anatoka dar anakuj tabora kila siku asubuhi na mchana anaend tena dar kula kwake na usafir wa rahis n ndege muheshimiwa waziri mkuu
2026-07-17 20:31:39
6
pumpunialex3
Pumpuni Jr :
Bado TANZANIA 🇹🇿 inakuhitaja Mhe MAJALI tunaomba urudi tena
2026-07-17 13:31:51
6
cruxoff69
nyigu69 :
Ila Malawi 🇲🇼 😎😎😎
2026-07-17 17:47:46
2
allyissa_jr
allyissa_og :
kuna mafundi vibarua atujalipwa msitusahau😁
2026-07-19 11:03:35
2
user4425631520062
Hasheem Beimoja :
tunge fanikiwa kumpa uraisi tungefika pazuri
2026-07-18 12:13:50
1
philipohosea
Philipo Hosea :
Usione watu wanamiliki majumba, magari na pesa ukatamani aisee, wanavyozipata wanajua wao ...! Taifa kusonga mbele ni kazi sana tunapigwa tu.
2026-07-17 12:53:36
1
khalfan.decoration
Khalfan decoration :
aaa kwa mia sio kweli fanya mia 2 hpo sio kwa mi sio kweli hta siku moja
2026-07-18 02:40:44
1
mbiombio5
APA KAZI TU. :
akuna kama w3we tenaaa
2026-07-17 18:19:57
2
badnetion26
Sbad :
nashindwa kwelewa
2026-07-19 11:36:31
0
othmankhamis127
Othman Khamis127 :
kwani izo pesa c wametowa wenyw au?.
2026-07-17 15:37:02
1
elhajj48
HAJI BANA :
Kodi zetu zinapigika asee dah inauma
2026-07-17 12:26:37
0
kabaisa786
kabaisa786 :
Wmambaaa
2026-07-20 15:00:11
0
dani88ac
💞#SPOCOTO9🧠 :
Hizi porojo je baada ya kutoa maamuzi aliye iba pesa zetu alifanywa nini... Hii nchi ina MATAMKO MENGI kuliko SHERIA SAHIHI ZA KUWAPA KIBADO WEZI
2026-07-18 18:17:53
0
muhitajihachoki
muhitajihachoki :
hhh😂🤣 tofali 100 sio kweli
2026-07-19 15:48:35
0
dickisonidickiso4
Dickisoni Dickisoni :
malawi
2026-07-19 21:56:50
0
pepechee58
pepechee :
watu wanasomea wizi
2026-07-19 00:07:12
0
user670476126919
mtweve :
duuuhhhuu huo niwizi milioni kumi sinyumba kubwa kabisa
2026-07-19 06:54:48
0
prosperkway331
Prosper Kway :
apo kwel tumepigwa
2026-07-17 12:51:45
0
To see more videos from user @babachanja01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About