@ostazjuma: Sio mwanamke! Huu ndio ukweli kuhusu kuondolewa kwa Sheikh Alwalid katika nafasi ya Sheikh wa Mkoa. Nimeeleza kwa kina kilichotokea, chanzo chake, na ukweli wote unaozungumzwa kuhusu jambo hili. Nenda sasa kwenye YouTube: OSTAZJUMATV utazame video kamili. Usisahau kusubscribe, kubonyeza alama ya kengele, kulike, na kushare ili wengine pia wapate taarifa.
Wallah nilikuwa nakuhisi wewe ndio umefanya haya. Nisamehe sana Ustadhi Juma.
2026-07-17 10:00:14
24
Waziri Omari311 :
leo watu wamekuelewa vizuri sana
2026-07-17 09:40:12
19
Teacher Mussa :
NDIO MAANA MIMI KM MM BAKWATA SILIKUBALI. SIO CHOMBO VHA WAISLAMU NI CHOMBO CHA SERIKALI KM OFISI NYENGINE TU. NITAINGIA KABURINI SITOIKUBALI BAKWATA IPO KISIASA ZAIDI
2026-07-17 10:20:45
15
hadija :
na wewe kila kitu unakijua hakuna kitu au kijui dah uko vizuri asante kwa taarifa
2026-07-17 14:28:23
7
africansstreetand :
Mbona mwanamke anasema yeye hajaolewa
2026-07-17 09:13:45
10
Da Ru :
kuna mda saa mbovu yasema kweli wallah kwa hili nimekuelewa
2026-07-17 13:09:35
7
abdiAbdikadir Kanu :
waliona atawashidwa kwa huchanguzi
2026-07-17 16:50:36
1
Iddi r Katenda :
mashaallah leo nimekuelewa kaka umeongea sahihi
2026-07-17 08:24:28
5
BABU M.T.G.L :
SAMAHANI NAOMBA KUULIZA .SHEHEE WAMKOA UA ANALIPWA
2026-07-17 14:27:18
2
Salim Rajab :
lete cheche baba hawa watu wambea usaidia pande zengine muhimu sana
2026-07-17 09:59:13
3
ساهيم :
NILIKUA SIKUPENDI WE JUMA NA MUSOMA ILA KWA DATA HIZI NAKUPENDA 🙏🙏
2026-07-17 11:50:27
1
mdutch :
sababu yoyote ile Allah ampe subra
2026-07-17 14:28:49
3
ali abass :
sasa sisi twamuomba mungu lkn twamwabia na muft aturejrshee sheikh wetu kipenzi chetu sisi wengine tumeachia mengi kwa uwezo wa allah lkn na sababu sheikh wetu wallah
2026-07-17 10:55:13
1
BAMSI BEY⚔ :
leo umeongea vizuri
2026-07-17 10:29:49
0
user2679130163035 :
Leo juma nimekuelewa
2026-07-17 09:13:38
3
Abuubasra :
murshid ndio maana Yake..huyu murshid ni Nani kwani
2026-07-17 16:31:39
1
Himgolden :
Kikubwa subrah… “watawaa swaw bil haqqi watawaa swaw bi sswabri “ tushikamane na haqqi lakini pia tushikamane na subra
2026-07-17 16:32:10
2
Dee🌹🥰 :
Leo nmekuelewa vizuri sana Leo
2026-07-17 09:34:38
2
Asnat Nanguka :
Leo umeongea point
2026-07-17 09:54:06
1
Forty Four :
Mimi nlisema ni siasa hiziii kumbe nipo sahihi.asante
2026-07-17 15:12:59
1
Amina issa :
hili nalo silipendi kaz yake kuchochea namb
2026-07-17 12:34:47
1
To see more videos from user @ostazjuma, please go to the Tikwm
homepage.