@taimediatz: #HABARI Meneja wa zamani wa wasanii wa kizazi kipya, Ostaz Juma na Musoma, amefichua siri juu ya Uchaguzi kwenye Baraza la BAKWATA , ulivyotengeneza fitna ya kuondolewa nafasi ya aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, na sio skendo ya mwanamke Kama wengi wanavyodhani. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Friday 17 July 2026 10:39:37 GMT
Music
Download
Comments
Nasreen 💥 :
Tunao mtaka shekh warid arudi gonga like hapa 😍
2026-07-17 14:48:38
899
mrs.... :
siachi uislam mpka kifo
2026-07-17 14:03:25
220
matope :
Mtaongea sanaaa mtabwabwaja sanaaa lakin ukweli anaeujua ni MUNGU 🙏😊
2026-07-17 10:55:29
384
tasty_berries :
yote 9 kumi sisi tunamtaka Walid arudi tena hatumtaki mwingine
2026-07-17 11:34:32
483
Yussuf Msige :
amiri , nikionzgoz
2026-07-17 20:01:50
0
@ king-of_style @ :
مرشد
2026-07-17 18:59:47
0
Latiffa mbulla :
Arshady
2026-07-17 13:36:22
0
Hamdani :
Pamoja na yote hayo Bakwata kuna shida sana
2026-07-17 11:19:57
147
user8146103281882 :
kam unmkbl sheh walid ging like
2026-07-17 19:04:26
0
mwanaid mtingwa :
semeni yote sisi tunamtaka shekhe wetu walidi
2026-07-17 12:04:18
130
Motinho :
Watu wengi wataingia motoni kwasababu ya Fitna
2026-07-17 12:24:02
119
Baadru__ :
kama una mkubali shekhe walid gonga like
2026-07-17 20:20:34
101
king :
Leo kaongea point etyy
2026-07-17 18:56:32
0
Hilda smiles# :
Karibuni tujifunze ukristo
2026-07-17 12:46:45
34
𝚊𝚒𝚎𝚖 𝚗𝚊𝚜𝚖𝚎𝚛🦋🖤🕸 :
Murshid,saaiq,mudhiif, au alhad
2026-07-17 11:20:38
20
@_SS9 :
Bakwata ni chombo cha serikali.Sheikh Walid ni mchamungu hafanyi Siasa
2026-07-17 14:10:25
27
neybeuty🥰 :
mtajua wenyewe ila me sheh wang walid bssssssss🤔🤔🤔
2026-07-17 13:08:31
7
Husna❤️ :
Nampenda Sana shekh Walid ALLAH azidi kumjalia kheri katika kila nyakati anazopitia kwenye maisha yake 🤲🤲❤️
2026-07-17 14:48:32
18
Hidaya parfum igunga🫶🫶 :
Mkimaliza tuna mtaka shekhe wetu
2026-07-17 18:16:49
5
KOKU :
mkimaliza kutueleza fitna zenu tunamtaka sheikh wetu mwamba kabisa Walid Kawambwa arudi kwenye nafasi yake ya Mkoa toeni siasa kwenye Imani.
2026-07-17 15:02:32
31
bint Yasin :
kwahiyo ni shekh al hadiy mussa saalim duh
2026-07-17 14:15:18
12
jojo ksw :
hii inaitwa sipiganagi mwenyewe ninapiganiwa na Mungu
2026-07-17 11:50:33
30
Munira Muhidini :
mumeanza kutajana
2026-07-17 11:50:46
10
Middle girl 🧕 :
UISLAMU WANGU 😩🥰
2026-07-17 11:32:49
11
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.