bytheway did they leave fighting,, or they they don't want us to watch live wrestling at home 😅😅😅😅😅😅
2026-07-19 06:21:07
1
wanjau :
this is what we are going through
2026-07-18 21:19:43
0
minbenati88 :
I thank God sijawahi experience hii. In fact my dad Ata Kofi hajawahi peana kwa mom
2026-07-19 05:34:42
3
Tairus Magero :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣That is called TBT
2026-07-19 09:22:42
3
you can't find me :
I never experienced that, I've seen my mum being dramatic but dad never said a word or hit her,,, he just acts nonchalant 😂😂😂now I can't maintain a relationship coz I can't seem to find a guy like my dad, one who understands when I'm being dramatic and when I need assurance, one that doesn't threaten to dismantle my jaw if I'm in a bad mood and my words come out as rude, one who always provide, one soo gentle but his words are powerful, aai wacheni nikue tu single mother my dad set very high standards and I don't compromise
2026-07-19 19:18:15
3
🇰🇪YOUNG. MUM. NORAH🇰🇪 💕 :
nilikuwa na enjoy juu hakuna kuenda shule until turudi tena🤣🤣🤣
2026-07-18 15:35:07
176
winnie K :
unanikumbusha mzee alifukuza mum alibaki akatupikia viazi sikiwa na maganda mtu alikuwa anatafuna akitema kama miwa🤣🤣🤣🤣
2026-07-18 22:35:54
96
davy :
achana na iyo, mimi naenda lunch nafika milango yote na kifuli kisa na maana polisi wanatafuta busaa na changaa😭😭😭
2026-07-19 07:48:29
49
fredz nym :
imagine kuna siku nililala kwa jirani siku 3 juu Mzee halifunga nyumba atakuenda shule ilikua noma tulikua tunaenda kwetu kama wezi🙆🤪🤪🤪🤪🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃
2026-07-18 19:01:02
53
sudy khadija :
😁😁😁kumbe maisha ya zamani yalikuwa yanafanana 🤣🤣
2026-07-18 17:16:47
49
stivo wa michira :
nakuambia Mim nlikuwa naenjoy kwenda kupanda gari 😂😂😂😂
Mm ady tukikaa mwezi nilikua nauliza mum kwani mbn siku hizi hamupigani na dad?
2026-07-18 17:19:08
22
Kahuts :
heri hiyo nani hakuwai furahia kuwa msick ndio upande gari ...kioo za hiyo gari ikienda mti zinakimbia😂😂 badae unanunuliwa bread ya block united😁😁
2026-07-19 12:12:33
37
Mishi Glory :
mmtoka nizaliwe sijaona wazazi wangu wakipigana wala kunichapa mm kiufupi sijai chapwa na wazazi wangu
2026-07-19 05:57:25
14
Tiger junior :
umenikumbusha mbli sana , sisi kuna wakati mathe alitoroka akaenda kwao tukabaki n mzee , unga ya chapo 2kgs mzae alipika chapo moja ulikua unaamka chini unakaa python imemeza ndama
2026-07-19 09:37:35
8
WishRabbit :
Wazazi waligombana, Mama akaondoka.Bas baba akawa anatupikia ugali mgumu kuliko jiwe na mboga inajaa chumvi kuliko mafuta
2026-07-19 23:07:39
6
Johnson's :
Aky wenye wameteremka kwa comments karibuni🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🪑🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-19 06:49:12
6
moonlitvibes :
alfu upate babako amepika Ile unga kubwa ya Chapo zikiwa tano😂
2026-07-17 11:38:33
17
pili😻😻😻 :
dah umenikumbusha kitambo me mama angu alikuw anapigwa Hadi na majembe😫😫😫
2026-07-18 17:22:10
5
🦚Lydia🦋 :
wah unanikumbusha mbali na iyo tabia ilipotea
2026-07-18 16:41:30
9
emmahwanja2 :
ziku hizi akuna vita kila mtu anajitegemea 🤣🤣🤣
2026-07-18 18:25:57
6
barngetuny :
vile mathe alienda, mzae alikua anatupikia ugali na maziwa kama maji ya ugali isitoshe nyama tulikua tunakula daily ni kama mathe ndio alikua shida🤣
2026-07-19 13:03:45
7
Lenox :
wueh ilikua mbaya....wetu aliondokea time ya xmas🥹sema kupepeta cabbage on 25,26,27,29,30,31 sijawai heal🥹
2026-07-17 19:32:49
5
To see more videos from user @robinhood_12, please go to the Tikwm
homepage.