Fridaaaaaa,big up sana kila mtu aende kwa anaeendana nae😂😂😂😂😂
2026-07-17 11:58:10
29
Ashally :
milla mbona wajibu kwa uchungu kaka😂😂😂
2026-07-17 14:33:43
10
bint mollel :
nikikumbuka nilimvulilia miaka 6 wakati hana alivyo pata akaenda mazima kwakweli sirudiii kosa🤣
2026-07-17 14:19:53
7
MOHAN :
TIKTOK IS BETTER THAN RELATIONSHIP
2026-07-17 12:19:47
1
Bionic Store :
Ntaendelea tu kutembea 😅🔥😁
2026-07-17 17:32:30
1
user2785134542517 :
love aitoshii 😎
2026-07-17 11:52:36
4
ticca :
frida umewanyooshea maelezo vzr kbsa😂
2026-07-17 16:07:01
1
Highly favored🕊 :
Guys .. short story time.. asikwambie mtu huku papweke sana .. lonely to the extent money can not solve it .. coz guess what .. your asked: unataka Nini ambacho huna in the house. That you need out there. Chochote to sema: unasema kila kitu kipo. Hata gari umeninuliwa . And kutoka unapewa deleva . In the house it’s you and house mangers. Huruhusiwi kuwa na marafiki . Wala kutoka bira ruhusa . And your monitored on cameras.nimecho jifunza .. tutafute marafiki or urafiki katika mahusiano.. in all long time relationship needs friendship, communication and empathy. Eti hela zitatutokea mapuani.. coz at first you enjoy.. Ila ingia miaka Kama 6 ndani ya ndoa.. na dhumuni ilikuwa hela .. mnaanza kuangaliana Kama sokwe …unakuja kujuta vitu vingi vilikupita .. and you can’t reverse life.