Bro uku daily ni ma missile from Iran 🙂🙂🙂 kila kitu imesimama🙂🙂
2026-07-17 15:54:25
11
AlphaBeast :
brother Mimi Saa hii kazi yangu salary ilikua reduced to qr700 I Decided to resign Na bado Niko Qatar but next month am coming back kenya.
2026-07-17 15:34:54
6
Gaza. :
niko qatar but the truth is hakuna kazi ..watu wanapunguzwa .
2026-07-17 15:58:06
10
CYKETTER MIKE :
kama contract ni one yr na commission iko abnormal. how will we manage to pay the loans.
2026-07-17 13:08:14
2
MÛGO MÛNGARÎ :
company yako ikinyang'anywa contract kuna ingine inapatiwa. So usiseme hakuna kazi. Sema company yenu haina kazi
2026-07-17 16:20:47
2
WN :
it's true watu wanapewa vacation ya 4 months kwa lazima
2026-07-17 13:00:39
13
Willy B :
are sure qatar hakuna kazi ????
2026-07-17 13:26:24
2
Faith Mwende :
So this is fake😳😳
2026-07-17 15:52:15
1
The Omolloh. :
bro hakuna job that's the truth
2026-07-17 13:08:29
3
Catherine Chomba :
ni kweli hata salary wanapunguza , contract pia ni one year sasa😳
2026-07-17 12:45:22
6
memsap boss :
hii niya mwaka jana plz kazi ziko my brother aliodoka juzu na ako kazi
2026-07-17 15:42:23
1
☀️I'm blessed☀️ :
so you mean Ady kazi za ndani yaani house maid😳😳ama
2026-07-17 14:12:56
2
JEFFMILLIONAIRE_KE 🇰🇪 :
ni kweli
2026-07-17 16:02:35
1
toxic@254 :
true mimi niko huku. na kazi zenye ziko ni za ukora hawatakupea contract na watakataa kuwapea doo zenyu mwezi mzima mimi ndo napitia saa hii aka(arkan car service)
2026-07-17 12:38:28
4
Basta Ryms :
It's true hadi huku Dubai watu wanadaganywa na visit Visa wanakam wanaingia overstay then Kemboi msee mi mbaya.....wengi welostia kwa baze za tei
2026-07-17 13:14:41
2
jacyjacy :
kwanza time za summer ☀️
2026-07-17 13:11:05
2
Big 3 :
na huo ndio ukweli
2026-07-17 16:06:10
1
Dunda vibes :
Uongo kazi ziko....😂😂😂
2026-07-17 15:55:22
1
SIR KELVIN'S 👊 :
hahaha
2026-07-17 15:56:32
1
To see more videos from user @truthwatchdog_, please go to the Tikwm
homepage.