@saibar_44: HAKUNA KITU CHENYE KASI KAMA WAKATI YAANI HAKUNA MFANO WAKE .... #tanzaniantiktok🇹🇿 #maktaba_ya_dawaa #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage #foryou

MAKTABA_YA_DAWAA
MAKTABA_YA_DAWAA
Open In TikTok:
Region: GB
Friday 17 July 2026 12:36:17 GMT
42094
3905
49
147

Music

Download

Comments

babykaman3
user1108393677109 kaman :
He has a beautifull nuru pure nur on he’s face , it’s because of iman and Ilman ,Maa Shaa Aallah!🥰🥰🥰
2026-07-17 20:06:03
1
said_prince3
said forogojr :
hapa walikutan watu sio watu wa mchezo n watu kweli mkono kwa mkono hadi pepon wallahiiiii
2026-07-17 21:32:49
20
allymsala07
Ally msala :
wallahi baada ya OTHMAN MAALIM kwangu anafata WALID AL-HADI ALLAH AWAKHIFADHI NAWAELEWA SANA MNACHONIFUNDISHA HAMJUI KUFOKA KWENYE MAWAIDHA YENU
2026-07-17 18:27:03
19
ibn_haafedh
Minute_motivation :
aaalimu wawili wamekutana allaaaah
2026-07-17 19:05:51
5
mustafamvulla185
mvull6 :
anavyoongea roho inauma
2026-07-17 19:37:50
4
user55425784271531
user55425784271531 :
mashaallah 💖 💖
2026-07-17 13:02:07
3
user1791680279401
njuku decorations :
nilipenda mwanangu nimuite walid lakini mwenyezi mungu amenijaalia mtoto wakike kwamapenzi yake nikipata wakiume nitampa jina walid inshallah 🤲🤲🤲
2026-07-17 18:19:37
5
nana_doll2
Nana🥰 :
mashallah
2026-07-17 22:16:23
1
dalali.mtoto
Dalali Mtoto :
Mungu mjalie afanye shewalidi naliyautulivuu
2026-07-18 08:04:32
1
farhan.siraj52
FAR-HAN SIRAJ :
DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 CHEIKH WALID Mimi na fwatiliya mawaidha yake bila ya ku tchoka
2026-07-18 09:16:51
1
madamwangu04
Rita.Rita💃 :
uyo baba namenda sana mawaidha yake
2026-07-17 20:11:29
1
hmn._king
HMN _KING :
mkono kwa mkono hadi......
2026-07-18 08:06:14
2
user9715231697981
Ahmad :
masha Allah
2026-07-18 14:25:58
0
benjaminibernard
Ben Nkosi :
Amen 🙏🏽
2026-07-17 20:10:29
1
chiddy.muhammed
r@shdy🤏 :
wallahu a'alamu mashallah
2026-07-17 20:13:40
1
user2324482585008
Chidy cakes ... 0732525513 :
MashaAllah 🥰🥰🥰
2026-07-17 15:16:01
1
abu.huda05
Abu Huda :
Mashallah kakaa kama ana mika 40+ kumbe anakaribia 60
2026-07-17 15:44:05
3
namsembamlavasi56
Namsemba Mlavasi :
🥰🥰🥰
2026-07-18 10:27:21
1
dhimusha
Dhia muhammad :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-18 06:01:11
1
ali.abass658
ali abass :
🥺🥺🥺
2026-07-17 20:28:33
1
kuolaaa
توحيد :
❤️❤️❤️
2026-07-17 19:42:47
1
waswahussien
waswahussien :
🥰🥰🥰
2026-07-17 20:01:20
1
reylaty1
reylaty :
🥰🥰🥰
2026-07-18 07:24:21
1
To see more videos from user @saibar_44, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About