niliambiwa mtoto mkubwa nifanyiwe op nkagoma mume nae kagoma simtoto wakwanza uchungu unakua sio saana ila mbona uliponoga nlienda mwenyewe nkafanyie haya kaja na kg6 gram8 alikua namanyonyo kabisa nkamuuliza docta alikulia tumboni au wakanijibu ungechanika mpaka nanilii🤣🤣🤣
2026-07-17 20:07:44
12
Official Dela :
Utafikir ana miez miwil 😳
2026-07-17 16:20:42
6
Betty Chapa :
Nilizaa Ana kg 6 wallah nilinusulika kifo
2026-07-17 19:02:54
4
Sirlmersirlmer :
chanzo ni nin paka wanakua na kilo nyingi hivyo
2026-07-17 19:26:43
3
*Mrs* 🥰 A.A 🥰. :
hahaha 😂😂😂🤣😔🤣 wa kwangu alikuwa na 5.1kg ni big baby adi raha
2026-07-17 20:42:16
1
. :
big baby wangu huwa kilo4. alhamdulilah 🥰
2026-07-17 19:05:27
0
Mom boys ❤️ :
Mi nawaza uyu nimeambiwa ni mkubwa kakaake niliezaa kilo 4 lilikuwa kama bwana afya 😂😂 saiz naambiwa tena uy mnene ad k inatetemeka
2026-07-17 19:10:25
1
biasher Abdallah :
nikifika miez ya mwisho nitapunguza kula du mtoto kama ana miezi miwili
2026-07-17 19:51:30
1
Lilian Lova :
Nikizaa kilo 2.5 nilichanika shida ni nini?
2026-07-17 22:02:00
0
She’s cute👠🎓 :
Tufanyaje tusichanike?? Tupe mbinu za kutanua nyonga kwa sisi tusiofanya mapenzi kbs
2026-07-17 20:38:53
0
My full moon Rouh :
na mbona limekaa sasa😂😂😂😂
2026-07-17 21:35:49
0
Cutiepie💜🧕 :
sio diabetes hii
2026-07-17 20:28:36
0
Miss___T✨🦋 Katoro :
mi naishia kilo mbili na point 😂😂
2026-07-17 20:38:55
0
saudath :
bora nizae kilo 2,atanenepea duniani😁
2026-07-17 20:02:00
1
Rey aron :
utafkri Lina mwaka😂
2026-07-17 19:31:45
0
Lizzy Eli Msuya :
mnatushaur tule sanaaa😂😂😂
2026-07-17 19:33:56
0
Mrs. Meck❤️❤️🔐🥰🥰🌹 :
nikikumbuka mtt wa 1 kilo 4 wa pili 4.3 na sijachanika mungu ni mwema
2026-07-17 20:26:27
0
agapekivuyo :
😃😃 chips mbil kwa siku kongoro weee mara paa kilo tano😄😄 ila nilikuwa na penda kula Niki sikia njaa nahisi kuzimia
2026-07-17 19:37:17
4
Nabby's point :
staki kukumbuka nilivyochanwa 4.6 acha mungu atusimamie tujifungue kawaida tu
2026-07-17 20:01:31
0
Fatuma Salumu :
mungu nijaalie kama huyu
2026-07-17 19:10:24
0
fatma matenga :
mimi nilisukuma anakiro 5 wee nilikoma
2026-07-17 19:31:51
0
Keza!!🦋🖤 :
wakwangu alikuwa Big baby jmn kl 4.5♥️nampendaga sanaaaa
2026-07-17 21:07:40
1
To see more videos from user @dr.mbegalo, please go to the Tikwm
homepage.