@dunialeo_: Polisi wamefika katika Msikiti wa Kichangani kufuatia taarifa zilizoenea kuwa Sheikh Walid angeongoza au kushiriki Swala ya Ijumaa katika eneo hilo. Hatua hiyo imekuja wakati waumini wengi wakijitokeza msikitini tangu asubuhi kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa, huku wengine wakieleza kuwa walifika pia kufuatilia taarifa zilizokuwa zikisambaa kuhusu uwepo wa sheikh huyo.#dunialeoUPDATES

DuniaLeo
DuniaLeo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 13:03:32 GMT
144266
5784
239
199

Music

Download

Comments

maalim_abasi
معلم العباسي 👳‍♀️(السقا) :
mpak sasa bakwata 0 - sheikh walid 1
2026-07-17 17:59:06
110
ashamfullu
ashamfullu :
kwa kilicho tokea kwa shekh wetu kipenzi Walidi hapo ndio anapanda daraja angalia hali ilivyo watu wametaharuki kwa ajili ya shekh walidi watu tumeumia
2026-07-17 15:49:00
134
ativankhatib
Ativan Khatib :
ningekwepooooooooo ahhhhhh ME SHEKH NAMKUBAL SAN
2026-07-17 21:30:30
0
venancemgosi
venancemgosi :
: Tunao mtaka shekh warid arudi gonga like hapa 😍
2026-07-17 19:13:17
83
yusuphaalim
يؤ سف عالم :
shekhe walid ni Nuru inayotembea mioyoni mwetu
2026-07-17 17:19:42
44
isha.arro.wa.msuy
official bint kaghuva :
sasa police ni wa kaz gan kwani tunaugomvi
2026-07-17 16:35:23
54
asmagrmtzp4
ukhty esmah :
Kuna watu wanabahat San Yan wanakubarik wakiwa hai wanazihirish wao ni watu wa watu kbl yakufa kwao duuuh ni Raha kias gani
2026-07-17 18:47:29
23
9946_gloranthy
Gloranthy💦💟🩸 :
wasije tu wakamuuwa baba wa watu maana binadamu kwa visa
2026-07-17 17:20:42
10
user16304555460818
user1630455546081 sada chuma :
mashaallah shekhe letu walid wallahi mung skype umri mrefu
2026-07-17 16:32:45
9
saaada46
Saaada :
🤣🤣🤣😂🤣Hii ndy inchi yangu Subuana llah
2026-07-17 17:49:30
9
yaumu.juma
Yaumu Juma :
ishaanllaa utaludi kwenye kiti chako shee wetu maana ww ndo kinakufaa🙏🙏🙏
2026-07-17 15:30:39
9
octvia62
octavia :
Mungu msaidie Shekhe Walidi
2026-07-17 15:11:05
22
muhdkipande27
Almando :
hakika n kipenzi cha watu
2026-07-17 13:45:31
21
neymasuleymani
[email protected] :
sa police wa kazi ganio
2026-07-17 15:22:27
6
moxule_254
Muna❤️ :
kua sheikh sio KUDHULUMU mwanamke hatia ni hatia na dini ni dini tusichanganye dhulma na dini.
2026-07-17 20:37:00
0
user3375567410432
salama zayumba :
mingu mwema asimame
2026-07-17 20:10:49
2
mill.shey
mill shey💞 :
sijaelewa sasa wamefata nn
2026-07-18 02:30:04
0
mr.king2275
mr king :
hakika huyu ni kipenz cha watu
2026-07-17 14:34:15
9
maryamally65
mamu :
tAQBEEER ALLAHU AKBAR
2026-07-17 16:04:19
4
cutejunaina
cutejunaina :
mashallah hakika uyu ni wapeponi tunakupend sn @ shekh walid
2026-07-17 21:13:13
0
sosodef001
꧁⭐محمد⭐꧂🇰🇪🌏 :
kwa sasa itabidi sheikh waleed asitembee pekeake mana ni hatari kwa usalama wake.
2026-07-18 01:44:13
1
saumurasheed
Saumu Rasheed :
hapo Yuko hi amependwa ivyo yaaan huyu ndio mtu w kwanza nchini kwwtu kupendwa akiwa hai
2026-07-17 16:20:22
3
niaher99
NIAHER🎀 :
waongo hawa hao police kila siku wapo hapo pembn kweny kona hapo
2026-07-17 17:45:10
0
saadamasoud935
Saada Masoud :
kwani haruhusiwi kuswali makubwa haya
2026-07-17 18:46:34
0
ameir699
See us! :
bakwata walifanya hili jambo kwa mihemko na kudhani watu wata saport kumbe sivyo kabsaaa hv sas wanajilaumu wenyewe
2026-07-17 18:44:32
4
To see more videos from user @dunialeo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About