Mwaka 1999 naingia Kyela, Mbeya nawaambia nimetoka Dar ndio huko nasoma wanabisha. Eti mtoto mdogo wewe ufike Dar!!? ila Dar🤣.
2026-07-18 11:45:33
35
madam prisca💝 :
kwa sasa ndoto yangu n kwenda katoro☺️
2026-07-17 15:11:58
29
Sale4life🇹🇿 :
Dah maandalizi wiki nzima ule usiku hua silali 😅😅
2026-07-17 19:10:23
30
Mr j :
Halaf ukirud unaongea ki Dar 😂😂😂
2026-07-17 21:23:23
17
sajdat_wedding_dresses :
zamani tukija dar likizo bs tukirudi mikoani after likizo darasani akuna story zaidi ya story za dar tu😁😁😁😁😆😆 ila dar
2026-07-17 20:01:37
12
Manyanda :
Alama kubwa jengo la Tanesco
2026-07-20 18:01:35
2
masota :
Dar zaman ilikuwa kama zawadi unaambiwa ukiwa wa kwanza kwenye mtihan utaenda dar kwa mjomba
2026-07-18 07:01:00
20
maher_phealthcare :
😅😅 ni kama content yeah ila kuna fact ndani yake For the first time ⏲️nimeingia DSM 2025 hizo nyakati zote nilikuwa nawaza How to coming here But now saiv nimekuwa mwenyej kona chocholo zote zimekuwa zangu 😅😅😅😅😅😅
2026-07-17 21:36:30
5
Mohamed Issa :
yaan kama unachekesha ila bro unaongeaga ukweli kabisa
2026-07-17 19:05:41
25
Flora Mwenda237 :
Stend ilikua mnazi mmoja
2026-07-18 10:37:35
3
Nusra :
asaivi tiketi ya kwenda dar nikumaliza darasa la saba😅
2026-07-17 13:23:38
13
kissninetheprince :
Zaman Ukitaka Kuwaaminisha Kijijini Kama Ulifika Dar Lazima Uwende Daraja la Manzese Upige Picha Ndo Wataamin Kwel Ulifika Dar 😄
2026-07-21 20:56:45
1
kidunda :
mtu anakuja anakuwa mwenyeji kariakoo siku hiyo hiyo😂
2026-07-18 08:55:43
4
tweny two :
ah kaka sahv dar haieshimik kila mtu anaenda enda dar
2026-07-17 14:53:38
8
chizyolela :
sikuwa na ndoto ya kufika dar ilaa leo nipo ulaya. mwache Mungu aitwe Mungu.
2026-07-17 13:28:32
6
godenjonas :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaah ww jamaa unanivunja mbavu
2026-07-17 21:03:05
3
Owenah :
Nimezaliwa uko Dar ila sahv sipapendi sjui kwa nn
2026-07-18 07:44:45
2
We care ❤ love 💘 ❤ 💕 ♥ :
Dar hii hii au ipi🤣🤣
2026-07-18 11:59:06
1
Coffee Dreamer :
kipindi hicho nyumbani tulikuwa tunafanya dua ya mtu anakuja dar mpaka nikaijua almnashirah kabla ya kuifikia kwenye junzu ila dar😂😂
2026-07-19 15:25:03
2
BAFANAog :
halafu hawapotei eti
2026-07-18 09:34:01
1
Jumanne Hassan :
very nice
2026-07-18 06:29:37
1
Doctor hussein / MD :
😂 nakubali kago
2026-07-18 19:31:09
1
it's real vunja bei official🤔 :
future of some people
2026-07-18 08:42:52
1
To see more videos from user @__kago360, please go to the Tikwm
homepage.