NILISHANGAA SANA SHEIKH WALIDI KUA SHEIKH WA MKO NA MAWAIDHA YALE KWELI ATAKAA? ALLAH KAJIBU WASIWASI WANGU MAANA BAKWATA UKIWA MAARUFU SANA KULIKO ULIOWAKUTA NI KIPENGELE
2026-07-18 12:03:14
5
vaspuracan :
wanatuletea ukabila kwenye dini
2026-07-18 08:23:56
5
Mr kim :
Hilo nikweli watanga wanashida na Sasa wanasema kabisa bakwata niwao
2026-07-18 12:25:58
3
Da🌹Mamu🥰 :
kwan mufty mkuu ni nani?
2026-07-18 10:15:17
0
ksaid :
2026-07-18 23:55:17
0
jellyfish :
huyo mufti pia hatumtaki
2026-07-18 21:48:34
0
Papilohmusic🎵 :
FACT
2026-07-18 10:46:27
0
CARTER V :
Hp umeongea point
2026-07-18 22:48:48
0
Faidha Alnassri :
mungu atawalaani hampo sahihi Kwa hili la waleed
2026-07-18 17:04:29
0
lucy :
sema baba wanajua ukabila tuuu, waache ubinafsi na mambo ya ubaguz kweny dini
2026-07-18 19:47:58
0
liwalo naliwe :
mtihan t hamna jengine
2026-07-18 04:25:31
2
user9990788231165 :
Jamani sio watanga wote kuna wazigua,wasambaa,wadigo na wabondei
2026-07-18 15:19:47
0
Mary Hussein :
kabisaaaaa wanatuchosha sisi mamuma
2026-07-18 12:07:48
0
who666669 :
watasikia??
2026-07-18 07:29:49
0
user3164192972722 :
BAKWATA WAMSIMAMISHE KAZI msikiti wa Kichangani.
2026-07-18 07:25:38
1
Ibun bazz :
hakuna asojua niukabila2
2026-07-18 09:20:01
0
abalhakam :
nikweli kabisa kaka
2026-07-18 21:06:55
0
hammam Albusaid :
kwani nani hana mapungufu bakwata, naniii tuseme nasie
2026-07-17 17:49:04
3
Mpili Kassim :
Almaruhum Ilunga amesema sana bakwata hawataki mtu anae jitambua kama sheikh Walid tena akasema Bakwata ni tawi la kasina katoliki
2026-07-18 11:07:11
1
Hussein Mraja. :
Mufti ndiye
mmbaya huyo mzee si mtu mzuri ataki sheik Walidi... ako na watu wake ili kuficha mambo ambayo Walid aliyaona...
2026-07-18 15:27:37
0
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.