@jackie.malvis: Vijana wengi wanakata tamaa na wakati mwingine kuchagua njia zisizo njema kwao kwasababu tu; hawapewi NAFASI! Kwenye maeneo ya kazi, kwenye maisha ya kila siku na hata kwenye familia🙌🏽 NAFASI! Mtumie ujumbe huu mtu unayetamani ausikie, atoe nafasi au aombe nafasi🙌🏽🔥 The best is yet to come❤️ Usikate tamaa!
Unatoa wapii haya mashairi em andika vitabu basi trust me uta uzaa🥰
2026-07-17 16:23:41
210
mo habeeb :
Brilliant..
2026-07-19 10:06:03
0
Brother_makuku Agrovet :
🥰 so great 👍
2026-07-17 20:10:22
0
PlanDz Tz :
:Nan mwingine aki like status what's up anaona vimpira kama mimi 😂
2026-07-18 20:09:27
17
NeyRose🌹 :
That’s fire 🔥 I love the way she does it
2026-07-17 18:11:10
1
Miss Robby :
perfect poem 👌👌👌 nice my dear keep going ❤️
2026-07-17 18:02:01
1
flex mali :
Nacha girl
2026-07-17 21:35:58
2
Medinae 🥰 :
Mambo yanazidi kuwa magumu kwangu moyo umechoka sana 😢
2026-07-17 18:40:01
74
_.ulfy._her :
Sio kila shairi linakaa moyoni lkn “nafasi”limepata nafasi yake
2026-07-17 14:11:51
70
real_savenom :
nakupa nafasi ndani ya mtima
punguza jazba usije utenda mtima
karibu ndani tuikamilishe yetu zima
ni upuuzi na ujinga
viliziba kuiona yako hekima
now nimetambua wew ndio yangu hatima
😂🤣😂🤣 kiding🏃🏃
2026-07-17 19:44:26
51
𝐰𝐢𝐧𝐧𝐢𝐞 𝐝𝐞 𝐜𝐮𝐭𝐞🦋💎 :
moyo una mengi magumu ,machungu kila nikipamban naon nashindwa sijui hatima yangu ipi 😔😢
2026-07-18 07:56:25
26
Blessed💫Gee💕 :
GOOSEBUMPS ♥️
2026-07-18 05:00:04
2
REAL OFFICIAL :
kwa wenye akili ndo wataelewa nafasi ya shairi hili kwenye kujua nn cha kufanya🥰
2026-07-17 14:13:16
26
Double G" :
napenda Sana mashairi yako ngoja niku follow 😅
2026-07-18 16:31:38
7
Skfurniture _decor🪵 :
Nakupenda sana mungu akulinde wewe na kizazi chako INSHA ALLAH
2026-07-17 14:11:18
13
109suces :
Hili ni shairi lakini ndio maswali ninayojiuliza kila siku usiku huku nalia bila Majibu, Maisha Yana Siri sana. mioyo inachoka sana
2026-07-18 09:14:28
5
reyman jumaa :
kwa Hili shair nanza kukufuatilia status moj kwa moja nimekupend bure this is my life🥹
2026-07-18 18:39:39
5
Saidy🎖️n.✔️ :
hakika uko na kipaji
nasema toka moyoni na si unafki
nipe nafasi nikupee sifa kwa shairi
talanta ipo na sii batili
😁😁😁😁😁😁😁😁