@clemence.mwandambo:

Clemence Mwandambo
Clemence Mwandambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 14:04:46 GMT
263544
14919
814
188

Music

Download

Comments

ezrah.emmanuel.no
Ev Emmanuel Norbert :
Mungu angekuwa mwanadamu mfano awe mimi kwa dhihaka zote zile sina uhakika kama huyu angekuwa hai, Mungu ana upendo sana...!!!
2026-07-18 10:10:02
602
mama.mapacha.pro.m
mama pacha to be :
Mungu ndo mzazi ambaye anajuwa kutuvumilia
2026-07-18 13:15:40
188
sophia.peter38
Sophia Peter :
ni kwamba hatujui tu huyu baba akitoka nnje ya mtandao huenda ni muombaji na anaomba toba kila siku huenda yupo karibu na Mungu kuliko mimi
2026-07-18 08:17:08
261
shedrack5250
Uncle shedy Tz🇹🇿🇹🇿 :
Uzuri wa tktok unasoma comment uku video inaendelea
2026-07-18 19:16:07
94
naomikyando1
Naomi kyando :
uzurii wa Mungu ana samehe dhambi zetu hata tulio mtukana na kumkana mbele ya shetani asantee Mungu wetu😭😭😭😭
2026-07-18 09:33:54
92
user2252101598679
Abdul Kareem Omary :
Yesu ni Mungu
2026-07-18 11:03:06
44
tumsifuobed
Tumsifu92 :
Mungu ni mwema leo ulikuwa unasema akuna mungu leo umetambua yupo sio
2026-07-18 05:41:21
51
aulelia20
aurelia20 :
wakianza kukuelewa wachanganye tena😆😆😆😆😆😆😆😆
2026-07-20 19:49:34
8
shemsangatv
Erick shemsanga [ Analyst ] :
Bado unayo nafasi ..... Mungu akukumbuke
2026-07-17 14:21:04
49
selestine.sewagud4
Selestine Sewagude :
utakimbia sana lakini Mungu akikuhitaji kwa kazi yake lazima utaifanya
2026-07-19 22:42:15
8
cherrybukhayo
cherrybukhayo💖♋️ :
mwenetu umeokoka leo
2026-07-18 16:55:39
6
esterelias72
kyeli elias :
aiseee kama mtu vile
2026-07-18 03:16:17
6
ministerevelly
official_Evelly_Petro 🎙️ :
Yaani kumkataa Yesu ni kama kukataa uhai. YESU hahitaji sana kutetewa ni Mwamba Imara sana! UTARUDI Tu 🥰🙏
2026-07-18 22:05:21
8
mission.successful5
mission successful 💪🏼 :
mawazo yangu siyo mawazo yenu wala njia zangu siyo njia zenu 🧘🏼🙏🏼🙏🏼🧘🏼🙏🏼🧘🏼🙌🏼🧘🏼🙌🏼🙏🏼🧘🏼🙌🏼🙏🏼😢😢😢😢🫂
2026-07-18 20:07:57
12
user2497784744352
Lulufrance :
umekubali Mungu yupo ee utatubu.
2026-07-18 23:04:57
7
fyzicute
fyzicutty 🌍🌍🌍👀 :
kikubwa mungu anawatu wengi na simwepesi wa hasira
2026-07-18 11:51:55
14
mateompazi
Matheo Mpazi :
Hatimae umekubali chezea Yesu ww👍
2026-07-18 20:43:21
7
shukutz5
shuku🥰 :
nyimbo za wazee hizi sasa
2026-07-18 14:13:20
5
lutezion
lute-zion :
bora uokoke. tu baba mwanndfambo mludie. Mungu
2026-07-18 07:09:07
9
user1840077598738
kakasalima :
Baba Mwandambo msaada wako ni Yesu hakika
2026-07-17 20:48:51
6
user99962795496196
Nicole Bright :
kumwelewa mwandambo ni kaz
2026-07-18 07:50:47
5
ibrahimhway
ibr hwy :
hakuna hata comment fupi
2026-07-18 14:05:52
11
mussa.james0
mimi2 :
jaman jina la wimbo inaitwaje?
2026-07-18 13:33:32
6
user47080210320363
Queen mugoli :
Milele yooote Mungu ni mshindi na mwingi wa rehema 🙏🙏🙏
2026-07-18 19:36:37
6
angelrobson332
malaika😇🥰 :
mimi nakupenda kama Mungu anavokupenda♥️
2026-07-18 10:44:18
5
To see more videos from user @clemence.mwandambo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About