nilitaka niiweke status nikakumbuka wifi yangu na mamdogo wako hapa🤣
2026-07-18 07:10:12
23
Angel Dada :
HALLELUJAH
2026-07-18 10:16:53
0
zawadmtui8 :
Arusha njiro
2026-07-18 06:44:34
1
Mom Alice💋🦋 :
Nilitaka niweke status 😂😂🤣 ila ntapew talaka
2026-07-18 10:48:56
10
Pacoume Zouzoua :
Binafs napenda kuishi na watu wengi nyumbani kwangu pia Mungu ananibariki sana kwenye rizki zangu nataman waongezeke hadi watu baki
2026-07-18 06:51:28
14
Wema Daniel :
sema nao mtumishi wa mungu tena mpaka wakiondoka na ndoa imekufa ubarikiwe sana mungu akuongezee hekima
2026-07-18 06:16:27
6
sAiDy mLiMbiLa :
liveee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-18 06:25:47
1
lilian.ngowi :
haya na tuliojenga nyumba ata azijaisha mtu anakuja kukaa miezi 3 ninae hapa
2026-07-18 04:21:47
8
SAMWELI MBISE :
Arusha njiro
2026-07-17 16:05:46
0
Esupath Mollel🍇 :
duuuh huyu ni zaidi ya mwalimu jamani ❤️🥰
2026-07-18 10:25:38
3
miliam paulo :
mafundisho nimeyapenda sana mtumishi
2026-07-18 08:47:14
5
binti charz :
Unajua ukiwa na familia biashara zinaendaga me Nina ushuhuda Ukweli mecnikiwaga na familia kipato changu huwa kinakua ni MUNGU tu inategemeana wamekuja kwa ajili gani
2026-07-18 12:54:36
1
@Anna _J :
Arusha njiro panaitwa
2026-07-18 11:47:24
0
Brightness mlowe (Afra) :
Mimi namuelewa mtumishi na ndio maana tukioana lazima tuweke mipaka DHIDI ya ndugu pande ZOTE mbili
2026-07-18 06:28:25
7
Pina Edward :
Maisha buku mwalimu
2026-07-18 10:49:02
1
Crala :
Acha tu mi uyo
2026-07-18 06:32:03
2
christian mollely💕💕 :
kweli baba sema wapone maana nivinganganizi
2026-07-18 08:23:41
2
Glady Ayo :
duu mchungaj Mungu akubarik🙏
2026-07-18 11:12:56
1
norahmike509 :
Mtumishi yupo sawa kabisaaa
2026-07-18 07:17:44
2
woisso :
haipingwii hii tabia sio nzurii kabisaa
2026-07-18 09:44:51
2
Dorcas B :
hii imeendaaa😁
2026-07-17 17:06:08
2
chichi :
I love this. Mungu amekuleta duniani kwasababu. Mungu azidi kukuinua na kukulinda.
2026-07-18 05:42:45
2
Bahatii Anessa :
umenena baba
2026-07-18 05:40:50
1
To see more videos from user @elizabetiulotus, please go to the Tikwm
homepage.