@acxram: ANZA CAR WASH YAKO YA KISASA KWA TSH 2.09M TU! Usisubiri mtaji mkubwa ndipo uanze biashara. Kwa TSH 2.09M unaweza kupata seti ya vifaa vya car wash inayokuwezesha kuanza kazi mara moja. ✅ Vifaa vya ubora wa juu ✅ Vinadumu na vinafanya kazi kwa ufanisi ✅ Vinafaa kwa wanaoanza na wanaotaka kupanua biashara Biashara ya car wash inaendelea kukua kila siku. Chukua hatua leo na uanze kujijengea kipato chako. #CarWash #CarWashBusiness #BiasharaTanzania #MtajiMdogo

TOOLS POINT DAR 🔧
TOOLS POINT DAR 🔧
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 14:41:31 GMT
51564
1610
27
326

Music

Download

Comments

edy_tz01
edy :
we unaongelea mashine tu unajua thamani ya kiwanja unajua thamani ya daraja la kupandisha gari
2026-07-22 19:38:05
3
mapaa2021
Mapaa :
mnatuchqnganya! video ileile lakn mwingine anasema milion moja na lak1 na huyu anasema milion mbili na eff tisini
2026-08-20 05:26:53
0
user1815725934944
anko cheyo :
mashine ya alaiment na wheel balance,ya kuplesi bush na kuvua tair
2026-07-18 13:58:26
1
ankonzala_director
MBIKEBRAND :
Nzurii iyo
2026-08-15 07:36:21
0
asgher1980
asgher1980 :
uko wapi au na. yako ya simu
2026-08-05 09:39:15
0
babysuu36
baby su❤️ 😍 :
unavyoitaj iyo pesa sas kam sh 100 jmn
2026-08-22 08:05:21
0
brand_computer2023
Brand_Computer2023 :
nataka psi 4000 single phase...ipo ? bei ?
2026-08-01 05:24:42
0
mustafavuai1gmail.com
mustafavuaimustafavuai1gmail.c :
munapatikan wapi
2026-08-24 12:05:15
0
user8338138380411
user8338138380411 :
naomba namba
2026-07-30 05:49:39
0
mdadisi77
Mdadisi :
Tuambie basi hata duka lako lipo wapi tutakuja.. upo Magomeni? I lala? Karioakoo? au wapi?
2026-07-29 09:31:22
0
ramadhani09041
[email protected] :
namba za simu yenu
2026-07-25 19:19:15
0
edwardkaroli
karoli :
namba ya simu naomba
2026-08-24 07:49:09
0
john.ogunde11
JOHN OGUNDE :
Naomba namba kaka
2026-07-17 15:25:59
0
wackotz
Wacko Tz :
nakufatilia kaka tutakutana hapo
2026-07-28 08:13:21
0
juliusludete
juliusludete :
Ogopa sana watu wanaotangaza biashara hawatoi namba za simu wala hawataji zilipo ofisi zao! OGOPA KUTAPELIWA!
2026-07-29 15:33:50
0
ayaancakes1
ayaan cakes and tools :
tuwekee mchezo kilamwezi kila siku siwezi nataka najua uku natafuta eneo najenga uku nacheza nikimaliza navifanyangu nimepata
2026-08-06 16:09:22
0
user8338138380411
user8338138380411 :
Mimi naitaji ndogo ya matumizi ya nyumbani nitapata
2026-07-30 05:49:03
0
mdadisi77
Mdadisi :
Toa namba zako basi. Kwa dunia ya leo ili uwasiliane kwa haraka, toa namba tu, umemaliza!!
2026-07-29 09:29:11
0
isack.sakweli8
Isack Sakweli :
bro jibu dm
2026-08-25 05:15:26
0
ramsonlutto3
Ramsonlutto :
namba yako kaka niko sirius
2026-07-19 05:57:06
0
rickytz1
user7330616849298 :
namba yako
2026-07-21 17:27:10
0
hamishamis626
Hamis Hamis :
kaka nikiwa na hela nusu unaweza kunipa nyingine nikalipa kwa awamu?
2026-07-17 17:50:34
0
user781611804521
mst@ kunjele? :
nipe namba
2026-07-17 18:28:05
0
To see more videos from user @acxram, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About