Mimi kwa maoni yangu hili jambo liko hivi haahdufkfgheodjfkefjfjsjfjfjsjfjfiffirdjdnxshshdjxjgjdjfjfjf kama yamal jahddifheidjfkeekekf
2026-07-18 09:06:15
8
Teenager :
season
2026-07-18 03:43:43
1
ICONSTORE_edit :
RIP THE SCRIPT
2026-07-18 10:32:31
1
mstaafu :
Ronaldo nae angejaribu kutafu mtoto apigenae picha au watoto wanamkataa?
2026-07-18 09:24:54
17
itz_mende🪳 :
ko France waliiyachia Spain ili script ikamilike
2026-07-18 12:55:58
2
CHADY MTB :
kwahiyo script ilianzia wakati messi anazaliwa mpaka lamine naye alipozaliwa kwamba wapishane miaka 20 wiki2 na siku 6 maana yake fifa waliongea na wazazi wa lamine kuhusu hilo.
na pia inamaana fifa walisha mjua lamine kabla hajazaliwa si ndio
2026-07-18 00:16:43
19
key stone :
lonardo angekuja kupiga picha na mimi leo fainali ingekuwa kati ya 🇹🇿 tanzania na 🇵🇹 Portugal
2026-07-18 12:30:03
7
Officialkuluthumu6 :
ila maover thinker 😁
2026-07-18 08:15:29
1
Maddie_Crazy😎🤏 :
lengo ni MESSI kumrithisha LAMINE urithi
2026-07-18 13:38:58
3
zlock :
Messi atamwachia yamal utukufu
2026-07-18 06:49:20
1
Stuart Ally :
Game mpaka dakika ya 88 game itakuwa 1:1 Spain atajitahidi kushinda kwa mbinde sana
Mark my word
Kama FIFA walipanga hii script tangu 2007, walijuaje kuwa huyu mtoto wa miezi mitano atakuwa na kipaji cha soka, atacheza kulia, atapenya academy ya La Masia, na kuchagua kuichezea timu ya taifa ya Uhispania badala ya Morocco au Equatorial Guinea (nchi za wazazi wake)? Je, FIFA sasa hivi wana uwezo wa kutabiri vinasaba (DNA) na hatari za majeraha ya mchezaji kwa miaka 20 ijayo?"
2026-07-18 05:26:38
7
Mr T9 :
Mtalia sana🤣🤣🤣
2026-07-18 09:32:20
1
TriLL_ix :
jamaaa FBI uyuu😅😅
2026-07-18 07:20:25
1
ispro 7 :
ninyi wa Madrid munaangaika
2026-07-18 11:37:59
1
asnath :
Ayo maswala ya kiroho
2026-07-18 05:50:32
2
Josiah Aledy :
😄😄😃😃😁ndomaan imeshasemwa mpira ni dhambi
2026-07-18 07:45:17
1
@silent.muse🌹 :
Wabongo sasa wasijue kitu
2026-07-18 05:39:01
1
h :
kwaio fifa walijua yamal ata miaka 19 atakua mchezaji mzur inamaana wanaotoa vipaji vya wachezaji pia ni fifa kwaio fifa wanapanga mapka vipaji na maisha ya watu
2026-07-17 19:57:09
2
Cute nana🥰 :
Iko hivyii watu wanishi kwa spiritual
2026-07-18 08:01:21
2
To see more videos from user @fcglimo, please go to the Tikwm
homepage.