jaman naombeni tutengeneze group la wafugaji wakuku please 🙏
2026-07-18 19:40:58
2
abbymecky :
tusaidie nawengine hatubahatika kuiona formula
2026-08-03 16:03:40
0
Cokap :
tupe fomura bossi ya kuku wakienyeji
2026-07-19 18:02:03
1
Ami :
Hilo group kikitengenezwa naomba mniunge na mimi please.
2026-07-18 23:38:39
1
Mama Saso animal feeds :
sawa, lkn formula bora ni ipi?
2026-07-17 16:06:39
0
dainesskitali :
naombeni nmuweke link
2026-08-15 14:22:43
0
J. :
Sasa whatsap unapatkanaje
2026-08-29 10:35:13
0
stevefox_26 :
Ratio ya ivyo vyakula inakuwaje
2026-07-24 06:26:49
1
𝓐𝓵𝓮𝔁y 💫 :
Hii ni pamoja na broiler au wakienyeji tu
2026-08-10 21:56:53
0
ñey :
hii unawapa hata broiler...?
2026-08-28 10:50:46
0
shalifu abdu :
nipo kwenye maandalizi ya kutengeneza Banda ni kuku wa ainagani nianzenao
2026-09-08 08:08:52
0
Qadhar poultry farm :
Habari ndugu wangu nilikuwa nataka nianzee ufugaji wa kuku, lakini sina uzoefu wowote. Kwa kuwa wewe tayari umeanza na una uzoefu, ningependa kuwasiliana nawe ili unipe maelezo na ushauri ambao utanisaidia kuanza kwa njia sahihi. Nitafurahi sana ikiwa utanisaidia katika jambo hili. Asante sana, ndugu yangu.
2026-08-12 18:28:38
0
To see more videos from user @official_papaambalamwezi, please go to the Tikwm
homepage.