@coolnews24hrs: Mara nyingi tunawaona wazazi wetu wamechoka, wanapambana na maisha, lakini hatujui maumivu na siri wanazoficha chini ya tabasamu zao ili mradi tu sisi tufanikiwe. 🕊️✨Binti huyu aligundua ukweli uliomliza maisha yake yote. Upendo wa baba hauna mfano, anajitoa mhanga hadi tone la mwisho la jasho lake. 💯💼Hebu tazama hadithi hii hadi mwisho, kisha nenda kamwambie mzazi wako "Asante" kabla hakujawa kuchelewa. 👇🥺 Follow @coolnews24hrs For more 🥺🙏 #EmotionalStory #Heartbreaking #TearJerker #SadStory #SadVideo
we hii movie nimeliaa nyieee daaah yaan mama ake na uyooo kashakufaa binti akalelewa na baba ake na akaoa mke mwingine uyo mke hata amjali mme wake yaan weee acha tu 🥹🥹🥹🥺🥺😭😭
2026-07-17 21:51:31
14
zaisal :
movie title please
2026-07-17 16:06:45
4
Mama vinicious :
young lady
2026-07-17 15:51:10
2
officiall@fetty :
mungu anilindie baba yangu kwajili yangu 🥹🙏🧕
2026-07-18 04:25:23
9
mymer💝 :
ya Allah nilindie wazaza wang ndio tegemeo lang kwa sasa😳
2026-07-18 21:33:28
1
Rukaiyat🌼🌼 :
hii moviee kali sana
2026-07-18 10:02:02
2
Samwely-jonhsone :
inaumiza sana
2026-07-18 06:04:16
2
Macconection on the fire :
Mungu tulindee wanaumee
2026-07-18 10:47:19
1
Yusra said :
Mungu walinde baba zetu🙏🙏
2026-07-18 10:06:45
1
mangi :
Mungu nilindie wazazi wangu nawapenda sana 🥰
2026-07-18 14:07:07
1
🦋Ney eliudy🦋😘 :
sik ya kwanz nilip iyon clip yak niliumia mpk ilinitoa machoz
2026-07-18 05:19:05
2
Masil0🌹🦋 :
Yaraab nilindie baba ang mana ctaman akae mbali na me hat ck moja ila ndo hivy ntafanyaje🥺
2026-07-18 10:31:03
1
savybebi :
mungu nilindie baba angu
2026-07-18 08:23:12
1
Neykhamy :
mbn nalia sasa🥺
2026-07-18 09:40:09
1
💯official Claudia143 :
inaitwaje?
2026-07-18 09:57:43
1
Afsa❣️ 😻 :
😳😳😳😳😳😭😭😭😭
2026-07-18 11:27:53
1
🎀barbeh tty🦋🎀 :
😭😭😭
2026-07-18 11:48:22
1
Shoom A :
🥰🥰🥺
2026-07-17 20:07:17
1
LEODGARD JOACHIM MOSHI :
🔥🔥🔥
2026-07-18 08:27:04
1
momy Kenny :
🥺😭😭😭
2026-07-18 04:21:11
1
Aunt_moo_cakes :
😭
2026-07-18 04:58:59
1
princess_hiya66 :
🥺
2026-07-17 20:36:32
1
To see more videos from user @coolnews24hrs, please go to the Tikwm
homepage.