Masha Allah Tabarakallah, sheikh Izudin umejua kunyoosha maneno. Allah akuengezee ufahamu zaidi na zaidi🤲
2026-07-17 17:18:17
19
WADUBAI :
mashallah very true umeongea point sana 🙏
2026-07-17 19:34:04
3
nehemiamdoe210 :
Tangu juzi nimejalibu kufwatilia sana shehe gani anae weza kulizungumzia kwa ufasaha jambo hili hatimae nimelikuta hapa mashaallah🤲tunaomba shehe warid aludishwe kwa manufaa ya uma wa kisilam✍️
2026-07-17 19:49:47
7
CPA HYASINTA (RAHMA) :
Swadaqta Wallah ni uchungu mkubwa sana,
2026-07-17 18:38:13
9
tanzania :
thank you
2026-07-17 18:25:20
2
Ahmed Swaleh 💧 :
Masha Allah umeeleza kwa kina kwa ufaswaha mungu akupe umri uzidi kutupa ilmu 🙏