miaka 65 ya uhuru unatrack mfumo wa uchumu kwa mfumo wa daftar 😭😭
2026-07-17 23:14:27
9
nando :
wanaiba sana izo hela bora zijengewe barabara
2026-07-18 05:38:05
1
albanus :
thanks my dc kazi safi
2026-07-17 16:26:01
3
Rajabu Petto :
nice
2026-07-18 06:12:07
1
Porini tours & safaris :
Unaangaika na wanaoiba mchanga sijui vitu gani, lakini mabilioni yakipigwa hayana shida kabisa, Hii Nchi bana
2026-07-18 08:49:55
0
Jerry tz :
mngeanza na wale wa CAG tungewaelewa
2026-07-18 08:39:01
0
Dede Og :
msamehee
2026-07-18 07:12:50
0
OLE MOLLEL :
Duuu hii hatari
2026-07-17 18:18:45
0
Speratus Christopher :
hapo ukute wanaoiba ni vigogo hapo halimashauri siyo yeye tu
2026-07-17 22:47:31
1
mtonga hasheem :
😁😁😁😁 anaekula laki 2 anafukuzwa kazi chap wanaotajwa na CAG wanapeta tu
2026-07-17 18:34:15
4
Babangida Jr :
DC hana mamlaka ya moja kwa moja ya kumfukuza mtumishi wa umma.
2026-07-18 03:28:03
2
Akida tz :
mjo mba kapiga rolli 40😂😂
2026-07-17 20:36:15
2
Rashid Magambo :
sasa ataishi vp km ajafanya kaz popote mkuu
2026-07-18 08:20:34
0
Hassan Juma505 :
kaz kaz dc magot unatisha sana
2026-07-18 07:40:23
0
Kowero :
watu wanapenda kazi halmashauri sababu ya ganji, mishahara midogo sana 😂😂😂😂
2026-07-18 10:05:37
0
faith :
kamsmamisha kaz sio kumfkuza kaona kama unapiga ivi
2026-07-18 05:31:11
0
maphuma008 :
Yani mpk Leo mnatukia madaftari 🤣🤣🤣
2026-07-18 07:35:09
0
Aboubakari :
Mtoto anaongea lugha anayoisikia inazungumzwa ndani ya nyumba,mkiongea kiswahili mtoto atazungumza kiswahili.Ukiona mtumishi wa chini anaiba ujue kaona wakubwa wake wanaiba
2026-07-18 10:15:19
0
abeid Diego 29 :
kizaman Bado tunarecord taarifa kwenye daftar
😏😏😏
2026-07-18 04:08:30
0
Razack R Kasimu :
😁😁😁
2026-07-18 06:30:59
0
To see more videos from user @godfreytheobard, please go to the Tikwm
homepage.