@minza.damas:

minza damas
minza damas
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 16:00:25 GMT
59967
2136
50
362

Music

Download

Comments

user4367256098378
sixber :
dhaàaa naomba uni2mie jina lawimbo uwo jamani
2026-07-25 18:26:50
1
ismail.mohamed02
Ismail Mohamed :
huu Wimbo ni wakati uwo dunia ikiwa imevaa nguo sio sasa dunia iko Uchida wa mnyama kweli maisha si mchezo aitarudi tena hii zama.
2026-07-23 09:03:18
2
user6961166578840
baba evodia :
hii nyimbo ni saindie jina bac
2026-07-18 16:07:54
4
zainabu.shabani00
Zainabu Shabani :
Jina lake nyimbo hii
2026-07-21 18:50:27
2
salmayusuph148
salmayusuph148 :
jina la wimbo
2026-07-21 15:05:48
1
salumu.kibwana
Salumu Kibwana :
mmevunjaaa
2026-07-26 16:57:26
2
slyx.tupilo
slyx tupilo :
MashAllah ukweli aliyeurudia muziki huu amenikumbusha cuban marimba na Salim Abdallah,maana alipoimba wimbo huu alikuwa anaona walivyokuwa wanamuwangia hakuchukua muda akafa kifo cha utata
2026-07-23 19:42:31
3
shabani.jaheka
Shabani Jaheka :
🥰🥰ya kale dhahabu
2026-07-23 15:32:51
2
zawadicharles20
zawadicharles20 :
uko nafamilia yetu hongereni sana Mungu azidi kuwalinda mirere
2026-07-18 12:43:11
3
mungu.mkubwa.san
Mungu mkubwa san :
naomba Jin la nyimbo iyo
2026-07-19 08:28:12
1
user83243631851285
Abumary :
Nyimbo hii inaitwa (Walimwengu)Iliimbwa na (Salumu Abdallah, Cuban marimba) kotoka morogoro Tz yazamani sana.
2026-07-22 07:11:01
1
siwazuri.kondo3
Siwazuri Kondo :
Bab umeweza
2026-07-21 22:03:14
1
gooddady33
good dad,s y@----me! :
jamani kumbe wapenda vya zmani tuko weng namimi naomba jina la wimbo
2026-07-22 08:52:32
1
samwelimatelu
Samweli Matelu :
babu kapatiasanaaa
2026-07-21 00:04:55
1
suzana.daffa0
Suzana Daffa :
Eeeeeer baba uyoooo amekumbuka mbaliii sana
2026-07-20 07:26:01
2
ramadhani.jumanne173
Ramadhani Jumanne :
usiwazoee binadam
2026-07-20 12:32:27
1
zawadijuma38
zawadi juma 💓75 :
ninacho kupendea minza unajar sana wazaz wako hongera dear🥰🥰
2026-07-18 22:26:53
1
flaziam
flaziam :
mmejuwa kumpa raha baba hongereni sana mmemkumbusha mbali sana🥰🥰
2026-07-20 16:24:31
1
omary.selemani44
Omary Selemani :
ama kweli uu wimbo uko vizuri
2026-07-24 10:11:37
2
user88027011384278
shabani mbuguni :
kitambo hikoooo
2026-07-26 05:02:57
1
user8215240955416
lucky :
mnikumbusha enzi zangu
2026-07-27 15:32:23
1
james.kabila0
James Kabila :
mola wangu
2026-07-24 13:25:15
1
sophiaathuman06
user941650496128 :
kitamboooo sanaaa
2026-07-24 20:47:44
1
yktitho6
yk :
jina la nyimbo jamani
2026-07-22 09:10:00
1
To see more videos from user @minza.damas, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About