@destiny_dreamfate: Unajua makampuni uliyonunua Hisa zake yapo kwenye kundi lipi kati ya haya mawili? Je, kundi husika linaendana na malengo yako ya uwekezaji??? Sikiliza video hii hadi mwisho kuelewa na kisha uchukue hatua. 📌 #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo
Hey miss wanda plz naomb uniambie broker anae fny vzr san kwa sas
2026-07-17 21:01:05
0
Phatrex :
thanks i admire u sana
2026-07-17 18:59:11
1
Mr.Bahadur Anwar Okera :
kindly check your inbox
2026-07-18 01:12:22
0
PUKA THE GREAT :
naomba kuuliza
ikitokea kampuni imetoka ktk soko la hisa yaan imefilisika wenye hisa hko inakuaje na je endapo itarud tena inarud na hisa zilizokuwemo awali
2026-07-17 19:40:06
0
Gaude :
ninatarajia kupata laki mbili naweza kuwekeza wap? na ni muda gani naweza kununua share
2026-07-18 02:22:33
2
yk_me :
Elezea hapo NMB wanataka kufanya share split
2026-07-18 03:37:45
0
Miss Nnko :
Mimi nahitaji elimu zaidi jinsi ya kuchambua kampuni kabla ya kununua
2026-07-18 10:55:15
0
Jnk :
madam nina laki2. nashndwa niwekeze wap
2026-07-17 16:36:26
0
machuruu :
leo ndo nimejua ili daah.. kweli Sina elimu😂
2026-07-17 17:05:14
0
anniecollection~Tz :
Naomba elimu kuusu mfuko wa bond fund wa UTT@Miss Wanda Gordon
2026-07-17 19:16:30
0
To see more videos from user @destiny_dreamfate, please go to the Tikwm
homepage.