Mtihani kweli kweli nilijua niko pekee yangu kumbe tupo wengi
2026-07-24 08:55:39
3
DA Mona💦 :
Ndo Ninachopitia kwa sasa mwenzenu 😭😭😭 Naumia BAs tu
2026-07-21 09:13:51
10
BAYHAQII@islm2 :
mm nipo nae geto apa sio ana mmoja ana zaidi ila nikimwangalia kama kaniloga ila nishachoka mana kila mala nafumania ila apa nikiludi naenda kumwambia naweza ishi bila yeye aende tu
2026-07-20 19:15:05
7
ihsaani :
chamsingi muonyeshe mapenzi ya kwel kisha muache aende ila kaatayar kumpokea muda wowote atarudi
2026-07-17 20:15:53
6
Regina Njoki :
my situation right now 😢😢😢
2026-07-22 00:40:32
6
Ester peter :
kwelii kabisaa na alivyomuacha yule anaempenda bado akunichaguaa😌😌na akaja akampata mwingine aliempenda tena na bado niliendelea kumpenda nyiee mapenzii acheniii 😭😭😭
2026-07-22 10:58:33
3
mamuuogjokho :
cjui nipge kelele mm jomon hv huwa hawaoni au vp yan??
2026-07-21 08:40:47
6
mama Shantel 💘💘💘💘 :
wacha to Kwanza mm Leo nimelia 😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😭😭😭adi nimesema weeee sipendi tena 😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-23 15:28:06
2
AsiahgHamiss :
ndo hali yangu kwa sasa😭😭😭
2026-07-20 16:20:27
8
Aisha🦋❤️ :
🥺na ana mke now so naheshimu ndoa yake😭😭
2026-07-22 19:14:12
3
ishar99 😍 :
nkweli
2026-07-21 22:12:11
3
Unique girl 💋 :
Hii inauma sana
2026-07-22 10:53:31
2
Jessy 🦋Jelah🦋 :
Nina ushuhuda 🥺
2026-07-21 20:36:41
3
Mrs...Mrs.... :
that was my last situation for good 10mnths 😏
2026-07-22 01:05:23
2
Sasha Juma :
uk
2026-07-21 23:02:03
1
Ua la Mama♥️ ❤️ :
hiyo ndio mapenzi
2026-07-23 19:41:05
1
Miriam :
ntawai heal 😭😭😭😭
2026-07-22 15:27:56
1
To see more videos from user @yasimine59, please go to the Tikwm
homepage.