@nyotaraystv: Ni Afande Rehema wa Jeshi la Polisi Mwanza, akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Bwiru Boys iliyopo Bwiru Wilayani Ilemela Jijini Mwanza leo Julai 17/2026. Huu ni Muendelezo wa Utoaji wa Elimu ya Usalama Barabarani na Malezi kwa Makundi Mbali Mbali ikiwemo Watu wenye mahitaji Maalumu. #NyotaraysUpdates ##FYP #fypage #foryoupage❤️❤️ #tiktokTanzania #tiktokkenya