iyo ni lc300 kama ingekua lc200 tank lingekuwa upande wa kulia lakn iyo tank lake lipo kushoto pia body sikuiz zinauzwa kama spea unaweza vua body la lc200 lakn huwezi kulibadili tank kulitoa kulia ukaweka kushoto mzee
2026-07-18 20:49:49
11
tweny two :
kwenye LC 300 hakuna toleo la VXR hio ni LC 200 iliobadilishwa body
2026-07-18 17:11:22
4
Ġ_Omm¥🇹🇿 :
Vitu Vingine Ni Vya Kuachana Nayo Mkuu Sio Kila Kitu Ni Cha Kuchukua Na Kupost 🙏
2026-07-18 20:59:50
7
MR artwork officially 🛋 :
ujui kana nchi inawenyew😁
2026-07-19 05:02:32
1
Danny Kijumbe Jr :
Kaa kitaalam wewe
2026-07-19 00:51:22
1
MR_POJO :
Fojidiiii😁😁😁
2026-07-18 20:32:17
1
Mr. kyoma Og :
Watu wa system haoo😁
2026-07-19 09:55:08
0
Realrasta5482 :
Hizo ndo zile za System
2026-07-19 12:29:26
1
kachota :
usalama
2026-07-18 20:17:06
1
chieffsimba :
takukuru hao Mzee wangu
2026-07-19 08:35:26
1
Jeff Ryder744 :
Wenye Nnchi hao,,,Ipo siku utapata wameweka TZ B 135.