Yeremia 1:8 “ Usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipo pamoja nawe nikuokoe, …” Mungu yupo nawe na mtakati ngumu hazidumu atakuonekania Wewe , amini kuwa wakati wa Mungu ni sahihi , Usihisi amechelewa au hakuoni Bali wakati wake ni sahihi ! 🙏
2026-07-17 19:50:23
0
Emelda Mponzi :
MUNGU akutie nguvu zaid
2026-07-17 20:14:14
0
To see more videos from user @upendo..group, please go to the Tikwm
homepage.