@bingwa_wa_michezo: #creatorsearchinsights #200kfollowertiktok Simba SC Complete Signed players✔️✅️ Nyie mkiwa mnapiga domo hawa ni wachezaji rasmi ambao next season watatumika pale Msimbazi. Ni wachezaji hatari ambao walizitumikia vyema timu zao za awali mpaka wamewavutia Simba na kuwasign. Ramadhani Salum Chobwedo kutoka TRA JNITED Winger ya Kizamani yenye miguu ya mpira , na hakuna beki 3 msimu huu kakutana naye asilale na viatu kufunga na kutoa pasi saidizi ndicho kimewavuta Simba na kuingia nae mkataba wa miaka miwili. Ismail Mgunda Mshambuliaji magoli bingwa wa kuji position, good receiving target halisi na kulijua lango pia. Hizo sifa ziliwavutia wanyama wa mjini na kumjumuisha kundini. Keletso Makgalwa winger ya kushoto nyingine iliyowavutia Simba SC kutoka Shekhukhune United ya SouthAfrica huyu ni complete package na aina ya mawinga wa kisasa ambao Sinba SC ilikuwa inakosa huduma yao na sasa ni mali ya Msimbazi Simba hakika msimu ujao mtu ataacha ndala. 😂😂😂😂. #Mgunda #Kaletso #Chobwedo Kwa tetesi za usajili follow @mr_analyst13

mr analyst michezo
mr analyst michezo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 16:45:33 GMT
57946
1719
17
11

Music

Download

Comments

julius.mponzi
MPONZI :
chobwedo?
2026-07-18 13:34:18
0
kingsniper458
dad danzer wA Mexico SinaloA :
ismail mgunda my class mate Kizuka moja goal score all de time
2026-07-18 16:48:58
0
user81666885499524
mjuba :
uongo mtupu hapo
2026-07-19 17:30:24
0
halimenshi
halimenshi :
nikweli?
2026-07-18 19:17:10
0
shabari433
Hamis Masud :
2026-07-18 15:18:09
0
jumalimbimbi605
0775215241 :
kama kweli safi
2026-07-18 12:26:27
0
user17509659
BABA JJ. :
chobwedo hawezi kasi ya simba🤗🤗🤗
2026-07-18 18:26:16
1
user48675990208161
user48675990208161 :
huyu Ismaili mgunda kina siku nilimwambia huyu mchezaji ana kila kitu kuchezea timu kubwa huyu nazan ata Slemani mwalim akienda kwenye timu yake muache aende jamaa sna kila kitu sajili nzr viongozi wamlinde mwaka huu kazi ipo
2026-07-18 17:23:51
1
denis.deus59
Denis Deus :
nguvu moja
2026-07-18 06:36:39
0
kingsniper458
dad danzer wA Mexico SinaloA :
mwanangu suma namuona
2026-07-18 16:48:07
0
halimenshi
halimenshi :
mbona inasadikika kwenye michezo 10 alizocheza amefunga goli Moja TU! atatusaidia?
2026-07-18 19:20:10
0
mambuzi77
mambuzi77 :
kwa chobwed hap uong
2026-07-18 13:59:35
0
saiguran..i..mole
SAIGURAN .I. MOLELL :
🥰🥰🥰
2026-07-17 17:58:31
1
user931272134736
kiddy berry 🍓 :
😂😂😂
2026-07-18 19:18:22
0
official_ramsso
Official_ramso :
🫶
2026-07-18 08:05:28
0
papaasaimon55
papaa saimon :
😁😁😁
2026-07-18 22:15:07
0
To see more videos from user @bingwa_wa_michezo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About