mr unknown thanks so much allah bless you ♥️❤️❤️❤️❤️❤️🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-17 18:29:41
9
Mercebert💫 :
Un known sin cha kusem zaid ya kukuombea maish marefu na afy njem dear ,,,, uendelee kuwa na moyo huo huo kwa upend🥰🥰🥰 Nakupend sana ikitokea nyingn Nzur Usiache jmn kutuonyesha mwaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-17 20:56:58
5
Engaice Masai :
Nisipo kushukuru Unknown nitakuwa so mtu wa maana kabisa MUNGU akulinde sanaaa upate mihelaaa mingi ya bando na miafyaaa umetupambania jamanii alavyuuu🥰🥰🥰
2026-07-17 19:14:14
90
Jazlin✨🦋 :
Season three iwepo jmn
2026-07-17 21:28:07
0
muhami :
kombolela imeshaish sjui nitakuwa mgeni wa nn nilikuw sitaki mtu kisa kombol😅😂😁
2026-07-17 18:29:41
15
Mum Duncan🥰🇰🇪🇸🇦 :
mulete season 3
2026-07-17 21:02:28
0
tc_fayy4 :
Unknown … asanteeee sana sina tv wala king”amuzi lakini nimeangalia kombolela kwanzia mwanzo hadi mwisho 😂😂😂ubarikiwe ❤️😍
2026-07-17 19:29:38
11
Nessy-Official🥰💎 :
Mwisho kivipi wajameni🥺😭😭
2026-07-17 18:26:57
7
am-Rukhy🦋 :
mme wang atakula kwa wakat sasa kila mwisho wa week naona kashukuru sana😂
2026-07-17 18:01:14
10
SHAYUA✨ :
rafiki kama zuhura kila mtu apewe 🥹❤🥰
2026-07-17 18:25:03
10
💖LURICH🛍️💸 :
Naweza toka kwenye wifi ya waatu sasaa😂😂😂
2026-07-17 17:29:21
30
winnie_looks :
A LIST dada tunaomba😂🙈
2026-07-17 17:37:25
40
Nassir_45 :
hii story bado haijaisha Inahitaji muendelezo maana tuna mengi ya kujiuliza
2026-07-17 19:28:19
6
To see more videos from user @ms_unknown70, please go to the Tikwm
homepage.