@pilitoni2: #piltoncomedian#gubupromax#mpwapwasho#babaatu#comedy

piliton
piliton
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 17:42:50 GMT
503252
32571
1627
2198

Music

Download

Comments

chuniechuma1
MADAME LIZZY :
Wanaigiza Lakin hasira naona mim😂
2026-07-17 18:04:07
967
user61447ammybae
Blissfully_Amie :
baba atu yupo radhi asiende kazini muda wa kupika😂
2026-07-17 18:44:02
624
upendo524
Upendo :
Mama atu si umuachiege apike mwenyewe jaman😅😅
2026-08-17 18:49:45
2
fred9_0g
fred :
badilisha jina la account yako kutoka piliton to baba atu itasaidia sana
2026-07-17 18:40:22
396
user3555138191294
p@@ :
Nilichokuja kugundua adui yako muombee apate mme Kama baba atu😅
2026-07-17 17:52:48
196
carolinemagoti221
Tee~carrie :
ila kwa kweli mama atu hajui kumenya ndizi leo nipo na baba atu😅
2026-07-18 05:29:53
246
emma986196
Emmy :
wachaga njooni muone mama atu anavyoharibu ndizi😂
2026-07-17 19:40:01
69
teeehealingwhi
Teehealingwhispers🌸 :
Mama Atu unaharibu Ndizi wanyakyusa atumenyi ivyo Ndizi 😀
2026-07-17 18:38:48
75
prosper_wolf
Wolf✅ :
Yani siwez pita video zenu bila kuangalia ndio kitu nilichokuja kugundua😂
2026-07-17 20:34:16
52
lilianmagobo4
lilianmagobo155 :
sababu am like comment yangu nitakuwa na pita kimya kimya nikiomba mtasema na vimaneno😁😂
2026-07-17 18:55:39
46
wema141
wema141 :
yani hapo baba atu haongei imagine akiongea😂😂😂😂
2026-08-12 19:08:55
5
aniepie38
AniePie❤️ :
Bora mwanaume asiehema kuliko babaatu😂😂😂
2026-07-21 22:35:28
6
zuuh_chocolate
zuuh_chocolate :
najua haiwahusu ila leo nimeachwa😭😭😭
2026-07-17 18:26:52
21
lyaan_girl
lina gril :
Kuna mtu kasema baba atu yupo radhi asiende kazn mda wa kupika 🤣🤣🤣 na kama kweli hv jmn.
2026-07-18 11:45:54
57
lightlova_0721
madame Lee ✨💗🍭 :
Kama baba atu ana hekima basi wangu ni mnyenyekevu mara miaaaa😂😂😂
2026-07-18 08:23:01
13
mamorah
Mamora👑🥀 :
Baba atu khaaaa🙌😒😂😂
2026-07-17 17:59:15
6
therealrosee8
💦Rosee🥹🦋🍭 :
najua aiwahusu ila leo nmeachwa
2026-07-19 15:08:55
5
herrykamguna
Hk kamuise kamuise :
Nilichogundua mama Atu akianza kuchepuka hawezi kurudi tena kwa baba Atu 🤣🤣🤣
2026-07-22 20:07:35
5
kyla71577
🌸☘️🌸 :
mungu nipe kama baba atu nmuoneshe kishindo cha wakoma
2026-07-28 13:30:00
9
parchmy
parchmy :
mbali na kuigiza ila huyu jamaa akuna anaemuweza😂😂😂 hiv hua anaingia na script au anayatapika😂😂😂😂
2026-07-18 02:17:52
38
traviss799
Traviss scot💕💕💥💫 :
leo nimekuwa wa kwanzaaaa 🥰🥰🥰 nawapendaaa mnoo
2026-07-17 17:46:17
25
phinaaa49
phinaaa❤️❤️❤️ :
Nimekuwa wa kwanza Leo baba Atu😁😁😁
2026-07-17 17:48:55
5
To see more videos from user @pilitoni2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About