Broo using elew ushabiki ongelea mpira maana hiyo move iliyotokea hapo ndo iliyotokea kwa Egypt 🇪🇬 so kwa ufupi Argentina bado haina cha kujitetea kuanzia kwenye kupangiwa vibonde mpaka kubebwa
2026-07-18 05:58:16
2
Jimmy :
Asnte kaka
2026-07-18 07:49:41
1
j.steven :
Ai waga haimuach mt salama hyo mchezajj anavaaga jesy no25 ila ap wamembandika23
2026-07-18 06:01:37
2
kelvin stephano official :
unajua sana mkuu kaza mchambuzi mzuri gonga like hapa kama una msupport mwamba
2026-07-17 21:36:56
8
Kembo Tours & Safaries :
:nyie subirini yamal achukue kombe ili mtuambie vzuri Goat wenu alikua wapi mda wote kuchukua hadi Goat wetu mdogo kaja kuchukua😁😁😁
mtatueleza
2026-07-18 04:50:57
1
Hassan peru :
Kwanz anavaa jez namba 25 ila apo wamesahau wakamuwekea jes namba 23kwenye tukio feki.
2026-07-18 05:35:05
0
charles :
akuna unachojua
2026-07-18 07:37:55
0
RicDJ :
Ufike muda mkubali matokeo tuuu ..😂😂 Mbona mnaumia sanaa
2026-07-18 07:26:26
0
zackdasouzer :
edit inaonesha jersey number 23 Wakt mwamba kavaa jersey 25
2026-07-18 04:26:06
1
Mako :
IYO NI EDITING 🤣WATU WA RONALDO WASHAFANYA YAO
2026-07-18 08:03:41
0
m@nb🧑🦱y :
time ureno wanahaha sana mkuu
2026-07-18 07:16:04
0
egbert Anthony :
kavaa jezi na mba 23 na alivaa namba 25 ieai
2026-07-18 06:56:49
0
Kelvin mwalukasa :
af ana vaa jez namba 25 na si 23 ka inabyo onekana hapo
2026-07-18 06:50:29
0
Dylanic :
Jezi ni 23 kwa 25
2026-07-18 06:42:19
0
xhukuru brown🇵🇼🇹🇿🇹🇨 :
kk kumbe wewe noma
2026-07-18 07:01:53
0
𝐂𝐡𝐮𝐧𝐝𝐚❤️☠️ :
saw tumegaiwa ila tushaingia fainal 🤣🤣🤣🤣
2026-07-18 06:16:40
0
johnson bullet :
kwani hadi leo kuna mtu ana danganywa na hyo AI
2026-07-18 09:11:13
0
max :
ata nembo iyo ya kwenye tishet jerse ya England uko kwenye editing inaonesha ni rangi nyeusi wakati kwenye ya ukweli iyo nembo ni rangi ya blue
2026-07-18 06:34:35
0
ABA Builders :
Noted
2026-07-18 06:32:46
0
Baba Dayrlan :
unajua kaka
2026-07-17 19:21:36
0
To see more videos from user @shentembo_, please go to the Tikwm
homepage.