@sokonidar: Jirani Dar es salaam matunda sokoni mwaka mzima, hakuna kipindi utakosa tunda, Kilimo cha matunda kinakua kwa kasi sana hapa nchini, matunda mashambani yanalimwa mwaka mzima kwa nguvu ya kilimo cha umwagiliaji Mkulima karibu sana sokoni, lete matunda tufanye biashara #tanzaniantiktok🇹🇿 #kilimobiashara #matunda #sokoni #kenyentiktok🇰🇪