@almecky_tz: Shamrashamra za Sikukuu ya Mwaka Kogwa zimeitikisa Makunduchi huku maelfu ya Wananchi na Wageni wakijitokeza kushiriki Tamasha hilo la kipekee la kitamaduni. Mwaka Kogwa ni miongoni mwa urithi mkubwa wa utamaduni wa Zanzibar unaoadhimishwa kila Mwaka Makunduchi, ukiwa na shughuli mbalimbali za jadi, Burudani na mila zinazoenzi historia, umoja na mshikamano wa jamii. Makunduchi leo imejaa furaha, vicheko na utamaduni unaoendelea kuvutia Wageni kutoka maeneo mbalimbali ya Zanzibar, Tanzania na nje ya Nchi.

almecky_tz
almecky_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 18:23:07 GMT
46982
1440
77
110

Music

Download

Comments

user6759781966111
user6759781966111 :
Asante
2026-07-18 20:48:09
0
khamis.juma05
Khamis Juma :
vi2 vyangu asaa
2026-07-18 04:11:01
10
mkali1459
jaba footbal :
tusiwahukumu ila wataend kuulzw inshallah ivi karibuni 😭😭😭
2026-07-18 18:00:21
3
khatsaal
@khatsaal :
Kujielewa ni jambo muhim sana
2026-07-18 12:54:15
3
hh834258
Mr. NEP (H+H) :
ni upuuzi tu
2026-07-18 08:09:10
3
bothlegs
userMintahatihah :
Mashaallah dada wa Mwanakwerekwe mzaliwa wa Makunduchi ziwa Victoria unalo
2026-07-18 22:26:05
2
altiwany98
Altiwany :
umeolewa?
2026-07-17 18:45:40
5
tiktoki25tiktok
Tiktoka :
VITU VYANGU ASAA
2026-07-18 09:35:34
0
sidecaptain3
sidecaptain3 :
ziwa nyasas
2026-07-18 08:14:45
4
meddy_glowup_store.09
Meddy abdillahy :
una watoto wangap
2026-07-18 06:18:15
0
da.huu890
DA HUU❤️ :
Ali
2026-07-18 17:30:17
0
ifattz3
𝗜𝗳𝗮𝘁𝗞𝗵𝗮𝗻9♥️🇹🇿🇮🇳 :
Tunataka kuskia nyimbo za asili za Iyo sikukuuu 🥰
2026-07-18 04:16:52
0
omarmasta3
OMMY :
hii skuu hii ni yamila na majini
2026-07-18 04:32:19
0
ally89671
ally :
hujamb 💛
2026-07-18 05:36:09
0
user3808787721vikram
vikram :
Nyashindwa kuelewaaa😂😂😂😂
2026-07-18 13:48:10
0
saidyham
hamiyar@ :
subuhana Allah
2026-07-18 14:19:16
0
khatsaal
@khatsaal :
Innah lillah wainah ilayh rajiun
2026-07-18 12:53:24
0
user8342116113618
Omar bare :
ziwa ss
2026-07-18 06:28:33
0
user9884315443212
chisahlm :
maziwa
2026-07-18 07:26:53
0
muhajirjey
Muhajir jey :
Jamani tusome
2026-07-18 19:21:15
0
user3200550048351
user3200550048351 :
fatma
2026-07-18 10:57:17
0
jokhaissahaji141
joiha 💖 :
dada wa faida
2026-07-18 08:58:20
0
engineermohd7
Engineer :
kwaio Bado mpo na Mila sio
2026-07-18 07:48:56
0
esherdlove14
Esherdlove🥰🌹 :
mm naogopa kuja kuona nsije nikapigwa gomba la uso😂😂
2026-07-18 00:45:38
3
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About