ilikuwa direct to status but acha 2 naona nikiachwa na almost 1 august inafika 😂😂🥰
2026-07-19 06:18:07
7
Mama yao❤️❤️❤️ :
M2 anakaa miezi kadhaa kimya 🫢then anatuma text beb nakumiss 😏😏 uzuri akatapata network yngu na yke iko very mwaaaa nikasema sawa🤣🤣🤣🤣tangu 2020 nko single in peace ujinga sipendi 😏😏😏😏😏😏
2026-07-21 05:22:41
3
rebeccasande638 :
time ya mtu hatuna
2026-07-19 18:48:38
1
itika faraja :
nilikuw ni mim 2 kumb wote mnasumbuliwa na network ya Airtel 🤣🤣
2026-07-19 19:16:06
8
linah :
hii nayo lazima nipost
2026-07-20 16:42:55
0
merry ✝️🙏🥰 :
sijui niweke status niachwe mazima😂😂😂😂😂
2026-07-21 10:00:10
0
Daddy's daughter 😍 💕 ❤️ :
uwiiiiiii 😂😂
2026-07-19 19:30:54
0
hope :
I concur
2026-07-18 18:28:20
2
maya mwaka :
achanikatokie kwenye comment status naeza poteza mtu n ananitafutia tuu sababu😅😅😅😅
2026-07-19 17:33:05
1
lucy_ akinyi😃 :
True 😂😂
2026-07-18 12:25:56
1
Zuhura Magamba :
Nimeshaweka status sasa nasubiri kuachwa mazima sipendi mapenzi ya ubabaifu bhana 😏
2026-07-21 12:50:13
3
@mercyCY :
hehe true
2026-07-18 18:44:51
1
Fatma Kirobo :
kwakwel 😅😅😅😅😅😅
2026-07-19 10:17:44
2
aminata :
🤣🤣🤣kumekucha
2026-07-20 08:21:51
1
it's cheps :
hahaha
2026-07-18 16:41:18
1
To see more videos from user @severinamarigu, please go to the Tikwm
homepage.