Just talk normal bana. Pia wao huenjoy tunavyoongea kama Wakenya. Be yourself bana.
2026-07-18 08:39:52
0
Mama Manu's Dar-Collection :
Haki nyie mmetisha sana,congratulations👍👍👍
2026-07-18 09:34:46
1
Madam strong :
tuaibishe kabisaa😅😅😅
2026-07-17 19:42:57
183
Moustaph Iddy :
Mbona Wanaongea Kiswahili Cha Kitanzania hawaa me wananichanganya ni Wakenya Gani hawa??
2026-07-18 05:59:23
31
MASISU :
tuaibishe 😂😂
2026-07-18 06:46:18
1
user91244425302482 :
brt buses
2026-07-18 08:41:11
0
Fatoum :
wadigo hatuwezi nyamaza tukienda mahali😂
2026-07-17 22:32:03
25
mr bg daddy :
acheni
2026-07-18 06:54:37
0
MONTANA OG :
Hivi wakenya wana mwendo kasi
2026-07-18 05:02:45
24
Miraji❤❤️🩹🌹 :
Waa sema toka jana hatupumui😂😂😂😂😂disko raphenya hero A.K.A.Masai😂😂😂
2026-07-17 19:43:56
28
gosbert :
sio ndo hapo wakenya gani wanasema laha badala ya raha
2026-07-18 07:18:42
6
nishanisha4275 :
mwendo kasi ndio nn guys
2026-07-17 20:06:39
17
@chioma❤️ :
ww ni mkenya au msambaa mwenzangu😂
2026-07-18 07:52:17
5
Awosh Bakers :
😂😂🤣🤣🤣🤣endelea kutuabisha
2026-07-17 19:37:05
8
daa zuu001 :
wakenya aah 😂🤣mwambien Ruto wenu maana kila mara mnamtukana mama Samia Lakin ukweli uliyopo tz ina maendeleo kuliko Kenya alafu kna mazuri kuliko kenya
2026-07-18 03:07:58
9
Opoku sam :
how much from Tanzania to Kenya
2026-07-17 20:24:05
6
SARAFINA :
mushatuaibisha aaaah nachoka 🤣🤣🤣🤣
2026-07-18 03:43:20
2
nifaa🥰❤️ :
endelea kituabisha kabisha
2026-07-18 00:58:32
11
brightness :
haijaikuta imejaa ehe sawaaa
2026-07-18 01:50:16
5
mkaly zby :
wejulizee na n msanii Gani wa tz ambaye alifanya comed kwenye mwendo kas
2026-07-17 20:30:11
6
🦋faith🦋 🇯🇵🇹🇿 :
ndo mrekodi kwa mwendokasi
2026-07-17 20:17:18
7
Leyla Kanga :
ila beka jamani mwendo kasi umekufanya mpka waongea kwa kasi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-17 19:23:14
10
KISTEN BUILDERS :
kwani Tumewakosea nini Nahyo Sauti
2026-07-17 19:31:43
17
dhikram.8 :
ssi twaomba mama Samia Aje awe governor wetu Wa kwale ,,,afu aje Na iyo mwendo kasi moja🤣🤣🤣
2026-07-17 19:46:10
5
To see more videos from user @bekaruga_, please go to the Tikwm
homepage.