eti mtumishi wa serikali anamiliki friji na tv 📺 😆😆😆
2026-07-18 08:21:59
2
Felix J Kiondo :
mtani wangu Kanywe soda nitaje mimi mtani wako nitalipa
2026-07-18 06:50:26
1
meku meku :
hahahaha
2026-07-18 10:14:17
0
Gaudencejonh :
tivi
2026-07-18 07:31:41
0
yudajohn45 :
huwezi kupata mke kwa kutoa mahari ya TV na fridge
2026-07-18 04:35:58
7
MBARAKA MAHSEIN ZEID :
Ndio maana hukurudi mbungeni sabb yakusema ukwel
2026-07-18 05:03:49
5
Elton Said :
huyu akipewa nchi hatuto mmisi magufuli
2026-07-18 09:22:45
0
ALLY SAIDI MPANGALA :
Kumdhamini mtu hakuhusiani na Kumiliki Tv au Fridge mzee unatukabia Juu sana.
Uzamini huo ulioelezwa ni kwa lengo la kumfikia mdhamini kiutahis kupitia mwajiri wake au hata akikimbia ni kwamba huyu mtumishi amekula kiapo kwa Finger Print hata akikimbia serikali itamfuatilia chochoro zote.
2026-07-18 09:18:04
0
Meddy Kashakala :
😂😂😂
2026-07-17 20:38:28
2
Baraka Sillo :
😃😃😃
2026-07-18 06:28:05
0
mdusiamani :
😁😁😁
2026-07-18 06:46:00
0
Godlovemsinjila :
😅😅😅😅😅
2026-07-18 05:47:51
0
To see more videos from user @officialbiderytv, please go to the Tikwm
homepage.