@nameless0471: Sasa Joho anaminia huyu mtu kusadia Rais Ruto kurudi 2 term kweli ata kujieleza ajui utasema ni mtoto wa PP2 anaongea hapa bure kabisa Mombasa viongozi akuna tena aibu hizi Mvita mumerongwa Ruto hio 1960s ata ajazaliwa amejenga hilo soko vipi 😂 #nairo #mombasatiktokers🌴 #kenya #mombasatiktokers #nairob @TEAM MACHELE
nameless047
Region: KE
Friday 17 July 2026 19:55:48 GMT
Music
Download
Comments
habshisalim :
1960 before independence
2026-07-18 07:22:28
0
user1003850813710 :
MashaAllah Well Said
2026-07-18 18:42:05
0
khaleed001 :
huyu hapati kura yangu
2026-07-18 07:04:24
3
Guraya Ulaya :
sasa nauliza 1960 ruto alijenga soko la sega hapo hata Kenya haijapta Uhuru wake 🤣🤣🤣
2026-07-18 19:04:47
1
Spartan :
azungumza kuhusu nn huyu?
2026-07-18 11:42:12
2
Pablo _Immylio :
soko ya 400 million na 600 million ....weee pesa hapa ilichapwa sana
2026-07-18 11:23:37
2
kenya1 :
Viva ni tutam 🔥🔥✌️
2026-07-18 00:56:41
3
LINKO IDD TMT 001 :
Mupende musipende viva Tutam
2026-07-18 09:03:04
1
rivelinoooooo :
Huyu amefundishwa kuongea, si maneno yake hayo. Anataja pesa za masoko lakini in reality hakuna pesa yoyote itakayotolewa.Hizo ni false promises.
2026-07-18 14:17:35
0
user7924001743702 :
hio 1 billion imechapwa vizuri
2026-07-18 15:33:34
4
Khalid Said :
SOKO NI YA 1960 HAKUNA ALIEKARABATI ISIPOKUWA RUTO SAA HII. MUMEELEWA ILA TU MUNAJIFANYA HAMUJAMUELEWA VIVA.
VIVA 2 TERM
2026-07-18 10:15:41
0
kenya1 :
Anijua kuongea vizuri Viva!!!
2026-07-18 00:57:36
1
user7924001743702 :
waongelea Ruto how sure are you utapita wewe
2026-07-18 15:36:22
1
Morris Kahindi ❇️ :
Mvita toa Bubu 2027
2026-07-18 12:18:33
0
Abu-Mansour :
2 tam vovaa
2026-07-18 11:08:20
0
Madevu :
mtaboronja sana lakini mujue ni 2term
2026-07-18 09:39:08
0
al amoody :
doddodo tuneumiya Wana Mvitaa
2026-07-18 14:50:04
0
To see more videos from user @nameless0471, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.