@prophet_richardmagenge: Ushauri wangu kwa elimu yetu

Richard Godwin Magenge
Richard Godwin Magenge
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 20:46:29 GMT
46242
2805
142
93

Music

Download

Comments

user2777532983316
user2777532983316 :
nice broo
2026-07-18 05:54:24
1
zacharia.manchan
Zacharia Manchan :
fact brother
2026-07-18 05:46:41
1
b.alaurent
b.alaurent :
Fact papa
2026-07-17 21:12:25
2
prophet_baraka_eubert_m
prophet_baraka_eubert :
Always on Point Papaa!
2026-07-18 04:07:34
3
funguanafsi4
D14 _SKY WAY,,,004 :
Dah in good point kiongozi🙏🙏🙏
2026-07-18 05:26:45
1
user6626629549621
Emmanuel kalulu :
umenyooka sana Mwamba♥️💯
2026-07-17 22:49:20
1
profflum
Professor :
Sad reality ni kwamba Hajui anauwezo wa kuongea na kutoa hayo maoni kutokana na kusoma kwake. Elimu imemsadia ndio mana anaweza kuchambua.The problem is systeam failure na sio kusoma sana kwa mtu. mfumo mbovu wa elimu ndio chanzo na laana ya yeye kujilaumu kusoma. aende kwenye root causes.Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru elimu ni unpredictable, changes kila siku na standardization watu wafaulu. Ukitaka kulibomoa taifa lolote chezea mfumo wa elimu, famila, histiria na Uongozi
2026-07-18 00:14:05
11
user3760984619495
King S Rubota :
huyu ni miongoni mwa watu wenye AKILI KUBWA. kwa hiyo nikiwa Raisi mwaka 2030. kwenye program yangu ya {TBBCP yaani Tanzania Big Brain Collection Program}. huyu nitamchukua. maana hapo nitakua na program ya kukusanya watu wenye AKILI KUBWA Tanzania. baada ya kuwakusanya ndo watakuja kuwa viongozi, coz Moja ya kitu kinachotukwamisha Tanzania kimaendeleo ni AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA. zingatia neno "olee wako usipo-deliver" nitakupa uwaziri maana unawaza kama Mimi!
2026-07-18 06:06:55
12
bakuntake
Bakunta :
Kenya huku tulibadilisha mfumo wa elimu, mnapaswa kuthubutu kama sisi
2026-07-18 17:00:09
1
kinyalyana57
KJJ :
Ungeshauri shule zote zifutwe si hazina maana why unashauri tena kuhusu elimu wakati wasiosoma ndo wenye mafanikio.
2026-07-18 03:51:05
1
nicoleivona795
Nicole Ivona :
baba nilipoteza mawasiliano ya wasaidizi wako,napataje uduma ako naitaji kuwepo kanisani
2026-07-18 02:46:22
1
wens_king
King Wens👑 :
watoto wengi wanataka kuwa doctor na rubani
2026-07-18 18:12:42
2
goodluck.mtui
G hustler :
Bro nakufatilia sana kwa fact unazo zitowa
2026-07-17 23:07:44
7
juma.maneno0
Juma Maneno official :
sahihi ✍️☝️
2026-07-18 18:26:56
2
itc.immah_08
itc immah_08 :
sema wew kiongozi
2026-07-18 07:44:39
2
rmsonge
user4804053149853 :
Nimependa sanaaa ushauri bora sana
2026-07-18 15:14:20
1
dox_dozzer
Denis Nyith :
uko sahihi sanaa baba
2026-07-18 08:06:51
2
user5252300171269bakari
bakari :
mimi ningepewa kipawa cha ushauri ningeishauli serikali ilete watalam wa kufundisha watoto wetu kuchakata madini sababu tunamadini mengi sana lkn hatuna watalam wengi wazawa, haipendezi Tanzanite ipatikane sana india mchanga uwende nje ya nchi tunamadini mengi sana nchi yetu, tusomee kuyachakata.
2026-07-18 06:49:02
1
mwalimuwawasusitanzania
MWALIMU WAWASUSITANZANIA :
mtumishia Africa tunashida
2026-07-18 03:54:46
3
udolekongni61
user4088349293830 :
umeongea vizur dr napenda mtoto wangu asome somo moja tu sheria toka darasa la kwanza mpaka chuo
2026-07-18 05:22:42
0
manando270
TOM :
mimi pia hile video nimebidi niisave niwe naiview muda wote,umeongea kitu ambacho MUELEWA tu.ndio atakuelewa
2026-07-18 03:20:25
4
desiremlavumba445
desire mlavumba :
point
2026-07-18 01:37:37
3
bashiru4464
Bashiru :
nice 👍
2026-07-17 20:49:02
2
kadu834
kadu834 :
jooni Kenya tumfunze watanzania
2026-07-18 03:20:48
2
To see more videos from user @prophet_richardmagenge, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About