@togolay24_tv: Shekhe Kipozeo amezungumzia uamuzi wa kumtengua Shekhe Walid katika nafasi ya Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, akisisitiza kuwa hatua hiyo haikufikiwa kwa haraka au kwa kukurupuka. Akizungumza kuhusu suala hilo, Shekhe Kipozeo amesema maamuzi hayo yalifanywa na viongozi wenye uelewa, uzoefu na mamlaka ya kutosha, baada ya kufuatilia kwa kina mwenendo na taarifa mbalimbali zilizohusika kabla ya kufikia hitimisho. Ameeleza kuwa taasisi za dini zina taratibu zake za ndani katika kufanya maamuzi makubwa kama hayo, hivyo wananchi wanapaswa kuheshimu mchakato uliotumika badala ya kutoa hukumu bila kuwa na taarifa kamili. Aidha, ametoa wito kwa waumini na jamii kwa ujumla kuendelea kudumisha utulivu, umoja na kuheshimu maamuzi yaliyotolewa, huku akisisitiza kuwa kila hatua ilichukuliwa kwa kuzingatia maslahi ya taasisi na kwa uchambuzi wa kina.

TOGOLAY24 TELEVISION
TOGOLAY24 TELEVISION
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 July 2026 21:19:14 GMT
24568
510
80
65

Music

Download

Comments

user600129974764
user600129974764 :
sisi atutak kusikia Chochote tuna mtaka yeye shekhe walidy
2026-07-18 04:31:43
6
mckiwana
mc :
BARAZA LA ULAMA BAKWATA ✍️NA BODY YA LIGI TFF ✍️Ni Vitengo Mahususi Vinavyo Vuruga Hizi Taasisi Mbili ✍️Wapo Kimaslahi Zaidi
2026-07-18 01:40:55
18
ksnsabari
shukrani 912🇴🇲 🇹🇿 :
Ata kama ss atujal tutaka shekhe wetu arudishwe
2026-07-18 03:00:57
5
user3167403377723
user3167403377723 :
hawana nizamuyoyote warudishe shekh walid
2026-07-18 03:30:38
2
fatma57830
Fatma :
sawa atujakataa kama hawajakulupuka basi mtujuze shida nn ili tuache tahaluki mtandaoni
2026-07-18 00:04:03
2
sifadesigner
@sifa_designer :
Ukabila unawasumbua
2026-07-18 08:50:37
1
silah.looh
silah Looh :
acheni hizo tabia za hila kusoma cyo shida tunaombeni sababu mziweke wazi za kuengulia kwa walid
2026-07-18 05:09:38
2
geofreyseverin
Geofrey 2026 :
mashekh punguzeni maneno Kuna kesho haya yamepita maelezo ya mini tena
2026-07-18 03:50:28
0
abdulqadikibassa
abdulqadirkibassa :
TAHASISI YOYOTE ILE DUNIANI UKIWA MKWELI,MTU MWEMA MPENDA HAKI, KWISHA HABARI.
2026-07-18 06:17:15
4
user2593878500412
Najma :
Tokenism banah atuwapendi
2026-07-18 05:59:26
3
ibrahimuhaji903
Ibrahim Hji :
Ingekuwa waislamu wote walimchagua,wangekuwa na haki ya kulalamika lakini waliomchagua ndo wamemtoa
2026-07-19 05:47:16
2
ashamngwenda
ashamngwenda :
Turudishieni shehe wetu ht iweje atuwasikilizi
2026-07-18 13:51:10
2
kn13alt
kn13alt :
hata hao wabalaza nao ni binaadam mnamapungufu nq mnaupendeleo na mmekoseq.ndani ya nafsi zenu mnajua.
2026-07-18 06:26:36
1
bundalarajabu
Rajabu Bundala :
siasa zenu
2026-07-18 03:20:14
2
aijak899
aijak899 :
ni sahihi kabisa
2026-07-18 05:02:38
1
user7367058260167
MZEE WA RAHAA :
nilikuwa na kuelewa kwa hili Ckukubali
2026-07-18 06:34:51
0
swaliikhalfani6
ساهيم :
Kwani watu wakubwa hawakosei shekh
2026-07-18 09:13:23
1
ikungajamilajamil
Garmiller Ikunger🌹💞 :
watu wamekaa na haikua mihemko
2026-07-19 19:26:00
0
omari.twaha
O.Kibuki :
kweli
2026-07-18 09:20:28
0
suhayla093
Suhayla :
tuwekane sawa km sote tunamuogopa M,mungu mnataka kuuwambia umma kuwa shekh Walid sio muadilifu? baada ya majibu haya maswali mengine yatafata
2026-07-18 11:14:27
0
mpemba_brand
mpemba_brand :
Moja wao nn
2026-07-18 17:37:46
0
lusekelocharles30
mmojawapo :
siasa kila mahali
2026-07-19 20:08:23
0
damianandrew6
damiani :
wako sahii
2026-07-18 12:18:38
0
kp.428
kp.428 :
Tafuteni msemaji awe mmoja sasa kila mtu anasema anasema tumsikilize nani sasa
2026-07-18 13:33:18
0
shekhan303
Hishaam :
2026-07-18 04:25:55
0
To see more videos from user @togolay24_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About