@mb__civil__professional: Karibu kwenye Familia ya MB Civil Professionals 🏛️✨ G + 1 BUILDING Location: 📍Dar es salaam, Tanzania 🇹🇿 Built Area = 275 Sqm Gorofa hizi ni Sawa kwenye mpangilio wa nyumba lakini Muonekano Tofauti #Tunajenga #Tunachora Tunatengeneza ubora unaodumu kwa vizazi na vizazi. Tunatoa huduma zifuatazo: ○ 📐 Ramani za Majengo: Nyumba za kisasa, ghorofa, apartments, fremu za biashara, hoteli na maghala. ○ 🏗️ Ujenzi & Ukarabati: Tunajenga na kukarabati majengo ya aina yote kwa ubora wa hali ya juu. ○ 🧠 Ushauri & Mpangilio: Ushauri wa kitaalamu wa jengo, vyumba, na mpangilio wa kiwanja chako. ○ 💪 Structural Design: Michoro ya nondo na nguvu ya jengo kwa umakini mkubwa. ○ 📒 Makadirio (BOQ): Uchambuzi sahihi wa gharama za ujenzi hadi kukamilika. ○ 🌳 Urembo wa Ndani na Nje: Interior & exterior design, pamoja na landscaping. ○ 🔎 Usimamizi & Land Surveying: Upimaji wa viwanja na usimamizi wa mafundi wenye uzoefu (mikoa yote). 📞 Wasiliana Nasi Sasa (Call/WhatsApp): 👉 0716266511 Kazi safi, haraka na kwa uaminifu mkubwa! #ujenzi #nyumbazakisasa #ramani
MB CIVIL PROFESSIONAL
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 04:59:15 GMT
Music
Download
Comments
Jacques :
very very good
2026-09-13 14:15:32
0
Official_lameck1 :
A
2026-07-19 14:33:17
1
muhammed.harun60 :
Wow good job bro pls which software u Dey use to render
2026-07-29 15:26:26
0
user8199260261363 :
hello
2026-09-12 16:01:48
0
Mdou Oury Balde :
nice
2026-08-09 15:01:56
0
Daouda Kourouma :
A
2026-08-17 11:21:01
0
Tera :
A
2026-08-11 14:56:14
0
Tumane_Setloko :
A
2026-07-30 10:15:40
0
mshua_📿📿🫀 :
A
2026-07-23 04:38:38
0
Ibsoo mooo :
A
2026-08-08 11:18:27
0
Guelord Mwamba :
A
2026-07-18 15:25:11
0
imanuel :
A
2026-08-06 16:51:23
0
MIN HTET AUNG :
👍👍👍
2026-07-19 08:57:38
0
daudace.sy :
🥰🥰🥰
2026-08-26 17:20:35
0
Mr.money :
Mon seul pense dans deux jours là : c'est comment construire une maison sur un arbre 🌲.
2026-07-23 16:17:45
0
To see more videos from user @mb__civil__professional, please go to the Tikwm
homepage.