@victor_mwambene: ๐’๐จ๐ฆ๐จ ๐Ÿ“š ;- ๐Œ๐ข๐œ๐ก๐š๐ค๐š๐ญ๐จ 12 ๐ข๐ง๐š๐ฒ๐จ๐ณ๐š๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐Œ๐š๐ญ๐š๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐ƒ๐ฎ๐ง๐ข๐š๐ง๐ข. . Kama kuwa tajiri ni moja ya Malengo yako basi katika Somo hili la YouTube lenye Dk 26 nimefafanua Michakato 12 inayozalisha Matajiri Duniani na hata hapa Tanzania. . Michakato hii imetoka kwenye moja ya Vitabu bora vya Fedha Afrika kinachoitwa School of Money. Michakato yote hii inaanza na herufi P - Passion kwa Maana Utajiri unawafuata watu wanaofanya vitu wanavyopenda (Shauku). Kutazama somo lote nenda YouTube yangu ya Victor Mwambene. . Kitabu hiki unaweza kukipata kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili Dukani kwetu Sinza Kijiweni @akiliplusbookshop . @moneytalk_tz . @akiliplusbookshop

CFE. Victor Mwambene
CFE. Victor Mwambene
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 05:44:12 GMT
47817
3465
73
127

Music

Download

Comments

khamichuma.com0
Khamis chuma :
naitaji icho cha kiswahili nakipataje
2026-07-18 15:09:36
3
tolanofficial568
silent vission :
kwan ulikuja kutaja wazamini au๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-07-18 18:06:11
4
user2161469760850
ewad :
Kumbe siri ya utajiri ni kusoma vitabu
2026-07-21 18:26:09
1
dramakidbmorestar
Dramakidb Morestar :
soft copy naweza pataa
2026-07-18 17:21:44
3
frolah.sanga8
frolah Sanga :
shida maelezo mengi ad sjaelewa izo kanuni daaa
2026-07-18 13:12:13
3
afonso111_6
king Afonso ๐Ÿ‘‘ :
how much that book
2026-07-18 11:04:20
1
destinkahenzi
destinkahenzi :
hizo 12 ziko wapi? you're descouraging
2026-07-18 07:53:26
1
obush2022
Obush11788979 :
Ok
2026-07-23 06:47:03
0
user6178205491204v
DEVI FURNITURE TZ :
Saw kak๐Ÿคฃ
2026-07-20 10:05:36
1
imas0n92
imas0n92 :
point hiyooo
2026-07-21 11:42:15
0
user6705068482119
MBELUZE@ old song is gold,fmk :
nilijua tu
2026-07-27 08:45:09
0
user3957094461638
user3957094461638 :
Nataka hicho cha kiswahili nakipataje na shigapi
2026-07-24 08:55:05
0
user3074481517356
THE FARM OF EVENT :
mmm nakitaka cha kiswahili
2026-07-22 16:22:40
0
hoseamoses25
Mobile :
Umezingua, ongea point watu hawapend matangazo ya biashara
2026-07-21 15:27:37
0
guylain.gkk
guylain.gkk :
Nafuta ya french
2026-07-21 10:17:39
0
user2613210275019
ben Garnacho :
Asante kwa kupoteza Munda wangu na data zangu Bora faida
2026-07-22 10:22:47
0
philimonmaydi2gmail.com
philimon gwangway :
nina miezi mitatu sasa nawaza kuhusu iyo application, mfanyakazi wangu nikimwekea nawaza atahisi simwamni, maana yeye ni mfanyakazi wa muda mrefu angekuw mpya naweka tu atajua ndo mfumo uliopo tokea mwanzo
2026-07-18 07:10:36
1
dramakidbmorestar
Dramakidb Morestar :
mmmh video zma matangazoo
2026-07-18 17:22:58
0
johnxbeiberjohnso
Captain jay๐Ÿ’ซ :
naipataje icho kitabu
2026-07-20 05:51:26
0
momodonge
momo donge :
ahxnt kaka
2026-07-20 07:28:20
0
the.prince.classi2
the prince classic glasses :
utajir auji kwa kusoma kitabu inge kuwa ivyo ata wasomi wange kuwa matajir UTAJIRI ni Nyota na nguvu isiyo onekana Either ya giza au ya NURU.
2026-07-21 07:07:12
0
user55540371851330
Bahati hot girl :
ameen
2026-07-21 07:09:53
0
mulokozikatanga74
j :
naomba kujiunga na vikoba app
2026-07-21 09:42:02
0
user9184458365443
charity@danny :
toboeni siriy ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-21 05:49:25
0
vicky.edward8
Vicky Edward :
Go straight to the point
2026-07-18 17:42:19
0
To see more videos from user @victor_mwambene, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About