@abdulhafidh575: RABBI AWZI'INY AN ASHKURA NIIMATAKA LLATY AN AMTA ALAYYA

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 06:15:41 GMT
58978
2518
65
77

Music

Download

Comments

namia332
NAMIA :
asante
2026-07-18 07:25:18
1
mudyguy1996
mohamedmboger :
mamba nae?
2026-07-18 07:45:00
1
marymgema598
Mary Mgema :
jamani namimi naota wananikimbiza wengi ila wakinikaribia napaa juu
2026-07-19 15:28:24
3
zurrishbabe14
Zurrishbabe14 :
shukran sanaa
2026-07-19 12:29:50
0
mimamohamed998
mimamohamed :
shehe nashida na namba yako ya simu
2026-07-18 11:07:36
1
mysahsglam
Glam by Mysah✨🌸 :
shekh MashaAllah leo katika kuangalia zangu kwasida nikaangalia kwa makini katika kaswida ya Mtume wetu hashimu nikajua kumbe ni wewe MashaAllah MashaAllah MashaAllah kaswida nzuri sana❤️
2026-07-18 14:52:03
4
nadyabahaj
Ummu Tasneem :
Mm naota ananikimbiza tu,
2026-07-18 08:39:15
2
user4949435284368
supar women :
as/ykum ustadh naomba unijib swali lngu kuna sku niliota ndoto mama angu mzaz amekufa ilkua nalia cna kla nikiingia chumbn mwke namkumbuka nalia yaan kilio asa ad nimeshtuka usingizin bdo nalia na machoz nmeyakuta ad nimeogopa na mpak leo mama angu yupo hai alhamdulilah
2026-07-18 15:47:37
2
mishydon
mishyDon❤🔐 :
Alhamdulilah
2026-07-19 21:47:28
0
mamamtaa5
MAMA MTAA :
mm niliota ng'ombe takriban ishirini wako malishon wanakula nyasi na wako na afya nzur
2026-07-19 19:49:29
0
gmtangi
glory :
niliota ngombe amekufa na mama yangu mdogo usiku huohuo amekuafa
2026-07-19 20:11:38
0
tiz520
tiz520 :
me nilmeota nyumba yangu ni safi sana imezungirwa na mimea mizuri kulikua na mihogo mahindi mchicha na mkunde alaf kuna baridi nzuri ile yapepea vzury hii inaama gani
2026-07-19 19:49:49
0
user6168795112187
Luna girl :
shukran shekh mungu akubark 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-07-19 16:25:53
0
mariam.omary2
Mariam omary :
Alhamdulillah mm niliota n'gombe wananikimbiza wana mapembe makubwa Lakin walinikosa
2026-07-19 18:12:22
0
abubakariomariiss
slowly99√ :
shekhe me niliota kulikuwa na ng,ombe wamekonda ghafla wakala wakanenep tafsir yakennn
2026-07-19 20:26:55
0
mbwakwapi
munawar hajj :
asalam aleykum sheikh nimeota jibwa mweusi aniuma bega hataki kuniacha ni nini shukran jazakallah kheri
2026-07-18 13:00:48
1
mariamomary962
Mariam Omar sweet :
Mimi niliota miti iliyo na mauwa kisha mauwa yakageuka watoto wachanga wakiwa na mabawa na nimauwa tofauti nipe maanayake
2026-07-19 15:04:45
0
maryline.ajwang
Maryline Ajwang :
ok
2026-07-19 23:09:28
0
fettymrope
fettymrope :
mim niliota ngombe mkari ananimbiza tena ana hasira sna na nimeingia ndani akawa anatikisa nyumba
2026-07-19 12:00:06
0
nasiwasarah65
Nasiwa Sarah :
Barack Lahufikum
2026-07-19 14:10:55
0
user9102066569959
Jean Paul seba :
asante sheh wangu mimi naota ngombe kila siku ngombe mweupe nikimchunga.
2026-07-19 10:07:12
0
user7284478287504
fifimariamlebo :
Asante sana
2026-07-19 08:54:54
0
benayah36
@ dreamy. light 🌺 :
shukran
2026-07-19 08:54:36
0
ummynihla
UmmyNihla💗✌️ :
mm nimeota nipo na wenzangu kulikua na nyoka wale nyoka walikua wakiwafuata wale wenzangu
2026-07-18 07:16:00
0
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About