@dav20beauty_colle: MIXA NIACINAMIDE BRIGHT CREAM Mixa Niacinamide Bright Cream ni cream maalum (hypoallergenic) inayofaa kwa matumizi ya uso, mwili, na mikono. Imetengenezwa kusaidia kung’arisha ngozi iliyochoka, kupunguza mabaka, na kutoa unyevu wa muda mrefu hadi saa 48. Ina mchanganyiko wa nguvu wa Niacinamide (Vitamin B3) na Vitamin Cg ambao husaidia kusawazisha rangi ya ngozi na kulainisha sehemu kavu. Faida Kuu: 🔸Hung’arisha na kusawazisha ngozi: Hupunguza muonekano wa mabaka meusi, sunspots, na hyperpigmentation. 🔸Unyevu wa muda mrefu: Hutoa unyevu wa kina hadi saa 48, hasa kwa ngozi kavu na iliyochoka. 🔸Huboresha texture ya ngozi: Huacha ngozi ikiwa laini, nyororo, na yenye afya. 🔸Huongeza mwangaza wa asili: Hurejesha ngozi inayochoka bila kuifanya iwe “bleached.” 🔸Inafaa kwa ngozi nyeti(hypoallergenic)Ni laini, imejaribiwa kitaalamu, na haina madhara kwa ngozi nyeti. 🔸Matumizi mengi (multi-purpose): Unaweza kuitumia kwenye uso, mwili, mikono, na hata miguu. Inafaa zaidi kwa: Ngozi kavu, ya kawaida, nyeti na yenye madoa au rangi isiyo sawa. ☘️Usikubali ngozi dull ikunyime confidence ☘️Badili muonekano wako kuanzia leo! Jinsi ya Kutumia: * Paka kila siku kwenye ngozi safi na kavu. * Tumia baada ya kuoga ili ipenye vizuri zaidi. * Inafaa kutumika asubuhi na jioni. BEI 80,000/= TUNAUZA JUMLA NA REJA REJA 📲0760 513 000/ 0650 788 170 🚚DELIVERY INAPATIKANA 📍TUNAPATIKANA MABIBO MWISHO STAND MPYA GHOROFA JIPYA (EL ELYON COMPLEX) GROUND FLOOR DUKA NO 3 #Mixa #MixaCream #Niacinamide #VitaminC #SkincareTZ
dav20beauty_collection
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 06:21:22 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dav20beauty_colle, please go to the Tikwm
homepage.