@mbegu.bora5: TAWALA F1 • Mbegu bora ya nyanya kutoka Bayer Seminis • Inatunda gumu lenye kuhifadhika kwa muda mrefu zaidi ya siku 21 • Mavuno mengi 45tons/k • wa Ekari • Tunda kubwa na gumu 140-180g • Inastahimili joto kali • Inakomaa mapema zaidi ya mbegu nyingine siku 65 pekee • Ukinzani mkubwa dhidi ya magonjwa ya virus (TSWV,TMV,TYLCV) • Sasa inapatikana Tanzania nzima kwa mahitaji ya mbegu hii wasaliana na bwanashamba wa Balton alie karibu yako au tupigie kwene simu namba 0657640487