@drmtongori:

drmtongori
drmtongori
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 07:08:30 GMT
5649
434
62
29

Music

Download

Comments

evanjo_mwenyewe
mateteevans :
Don't tell me I as a Chosen One I should not get married ama?
2026-07-18 14:32:54
0
pendojackson332
Pendo Jackson :
na tunavyoyapenda hayo mapenzi🙌🙌
2026-07-18 13:12:17
2
usertaurus62
Taurus ♉888 :
kwanini sasa sisi choose one huwa tukiingia kwa waganga hatufanikiwi na kwanini mimi nikiingia kwa mahusiano napata narcissist
2026-07-18 14:11:51
1
ccterloved
Diana Lugola :
mume wangu wa kwanza nilizaanae mtoto mmoja tu tukaachana na mm ndio sababu nikapata mume wa pili akaniangusha vby mno miaka 18 niliyoishi nae tukajenga nyumba 4 na akaniacha bila chochote nimepata mume wa tatu huyu ndio hata siwezi kueleza yn ni narcissist wa ajabu ndani ya mwaka mmoja tu nimeshindwa tumeachana... lkn yule wa kwanza ananipenda hata nikimwambia turudiane sasa hv anakubali nanimpole mno na ananisikiliza kwa kila kitu...! je naweza kurudiana nae naomba unijibu hili swali
2026-07-18 08:33:59
0
aishamchory1
MWANA MCHOLI 🥰 :
kweli dada ndoa imenishinda kabisaa nipo singo Sasa jamani hizi hisia tunazitoa na nini wenzangu
2026-07-18 09:20:33
1
sundaykipepeo
KIPEPEO FASHION :
DADA USIFIKE MBALI YAMENIKUTA MIMI..SINA HAMU 😔😔
2026-07-18 12:37:02
1
rosemaryathuman4
Rosemary Athuman :
Kusema kweli nimekuwa nikitamani kushi peke yangu tu yani sitaki kabisa mapenzi kwanza mapenzi yenyewe sina😂😂😂😂
2026-07-18 12:31:34
0
bette173
🧿Better ♒️ :
Nikweli
2026-07-18 11:20:24
0
dkt.davidwisdom
Dkt. David Wisdom :
hii ni kweli kabisa tangu nimeoa tu maadui ndo waliweza kunichungulia mpaka nilipo upata ukweli wanamna ya kuishi kwenye hilo ila vita ya kutaka kuvunja ndoa ilikuwa kubwa
2026-07-18 10:24:24
0
martinnjeru323
martinjosiah :
ushasema sister ,nakukubali kabisa
2026-07-18 15:06:38
0
vanessairakoze92
Queen🦂888🔮 :
dada naomba niurize kitu yesu ni mwana wa Mungu awo ni chosen one kama Muhammad naomba nijibu kwasababu wa Islamu wanasema kuwa Yesu ni mtumwa🙏🙏
2026-07-18 08:01:08
0
angela.julius.nya
Angela Julius Nyakiti :
Nakupenda sana unatufundesha mafundesho saii
2026-07-18 16:30:41
0
mahuya800
Mahuya :
Amina sana ila samahani Nina swali kuhusu asili ya kuchija wanyama kama ilivyokuwa kwenye agano la kale mfano ibrahm sasa baadae ya yesu kuja duniani hiyo enzi iliisha je kwanini watu wanaochiji Huwa wanafanikiwa Ina maana gani? ingawa tushahama huko
2026-07-18 10:36:56
0
user9947560547269
user9947560547269 :
Na ndio maana yesu alifikia zumuni lake lililomleta duniani, endapo kama angeoa pia asingeweza kumalza kilichomleta dunia🙏 nmekuelewa vzur sana leo dada
2026-07-18 15:42:15
0
salum.mac.sam.sha
Salum “Mac Sam” Shayo :
true my sister, yote unayosema yananihusu kabisa yaan
2026-07-18 14:39:09
0
rehema.ally573
Rehema Ally :
hakika umesema ukweli mtupu nahisi jambo
2026-07-18 14:52:54
0
abdulymashiku
[email protected] :
dada naomba hiyo pete
2026-07-18 07:29:23
0
angela.julius.nya
Angela Julius Nyakiti :
kweli dada unasema saii sana
2026-07-18 16:29:40
0
titoke1111
Tito Ke :
niko inje ya box
2026-07-18 14:32:12
0
dotto116
Dotto :
Asante nilikumis
2026-07-18 16:50:19
0
dotto116
Dotto :
huyo uliyemvaa chosen one nani?
2026-07-18 16:51:13
0
user960727404
Daniel Daniel :
mungu akubaliki
2026-07-18 16:25:07
0
naselian.kashu4
Naselian Kashu :
hata Cha kusema sina
2026-07-18 16:14:02
0
mo_sagofx
MoSagofx :
Dah😇
2026-07-18 15:43:33
0
winladygeorge
wokovu :
daaa its too late asa hapa tayar nipo kwenye anguko natokaje dada msaada maan huyu leo naona kabisa ni narcissist
2026-07-18 07:32:32
0
To see more videos from user @drmtongori, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About