@momadini_: Mila zingine ni ushamba. #creatorsearchinsights #marriageadviceforhusband #momadini #fpy #motivation

Mo.madini
Mo.madini
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 07:16:38 GMT
27323
1401
230
122

Music

Download

Comments

efrasiamary56gmai
[email protected] :
big up baba👋
2026-07-18 19:25:06
1
samurai2648
samurai :
Well said chief👏
2026-07-18 12:53:02
1
madame.lucy5
madame Lucy :
anakunywa chai na mkate watoto wanapewa uji😁
2026-07-18 13:01:45
42
sagittariusqueen511
Sagittarius Queen♐️ :
Baba alikua anatuachia nyama yake au samaki kilasiku ya chakula chenye nyama au samaki
2026-07-18 18:20:53
6
giana8639
Sasha baby 💝 :
Kumbe wanaume kama wewe wapo daahh god bless you 😌
2026-07-18 17:14:38
12
itsdee.._
FAVORITE GIRL 🦋 :
Nashukuru MUNGU baba etu akileta kitu lazima atuachie hata kam umetoka lazima aseme fulani muachieni hata kesho atakula😂😂
2026-07-18 14:51:59
18
skipnick74
skipNick :
Ubinafsiii tu
2026-07-18 12:10:08
11
mom_nice1222
N🇹🇷♥️ :
baba umezema kweli kabisa
2026-07-18 21:11:56
2
grrrzzzz2345
usercfx247 :
Umejenga nyumba, wanakula, wana vaa vizuri, ada unalipa, matibabu wanapata, unatoka giza unarudi giza, halafu wakuchukie kwa kula mahindi mawili; hao watakua sio familia ni adui zako.
2026-07-18 13:47:44
15
adomugisha
kanguru 🇦🇪 :
asante baba umenifundisha sijaoa Ila siku nitakapo oa nitafanya icho am from Burundi
2026-07-18 12:16:46
12
elizabethurio6
elizabethurio6 :
umenikosha sana brother 🥰
2026-07-18 11:32:46
12
shambakids
SHAMBA KIDS ANIMATION :
nimecheka sana kaka 😂😂😂😂
2026-07-18 17:37:25
2
irenehenry653
kipepeo1 :
zingatia Credit😁😁😁
2026-07-18 15:12:45
1
motivationspeaker33w
MOTIVATION SPEAKER :
haya kina baba. maana kila siku vijana
2026-07-18 13:31:23
5
songatibe
songa#@🔥🔥 :
🤣🤣mm huyo kabisa
2026-07-18 14:43:05
1
grace.toto4
Grace Toto :
kabisaa
2026-07-18 13:45:08
1
celin_kendrick
Celine ♑️🥰 :
Na niwambie wanaume jmn watoto wanaona unayowafanyia au unayomfanyia mama yao ko mama asipoingilia kati kuwakumbusha watt kwamb yule n baba yao wamuheshimu t basiii ndo kwaher watt watakuchukia mpk ukome mama ana role kubwa sana
2026-07-18 18:48:14
3
user2794276847727kimnaah
kim nah ACCESSORIES :
natafta mume kama huyu jamn niolewe kama huyu
2026-07-18 19:37:41
1
paschalpius395
😡😡😡😡 :
no comment
2026-07-18 15:19:59
1
motivationspeaker33w
MOTIVATION SPEAKER :
@MOTIVATION SPEAKER:kila mtu apambane na family yake.. kuhusu tabia na Sheria , kila familia ina taratibu zake. familia zingine utaona aibu wewe.
2026-07-18 13:47:52
3
user5222919086975
user5222919086975 :
Marehemu baba yangu alikuwa anahakikisha tunakula kwanza vizuri sisi yeye anakuwa wa mwisho .. hadi nyama za kuku alikuwa anauliza we unataka kipande gani anatugawia wote kinachobaki ambacho hatujachagua ndo anakula.. mwenyezi mungu amrehemu.
2026-07-18 20:11:24
2
To see more videos from user @momadini_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About