@phinamango2: Kunamuda natamani nihadsie ulimwengu Ila naona nikae Kmy kwakuwa hata ulimwengu nao Baada yao wanaptia nayo pitia mm ###viralvideo ##fyppppppppppppppppppppppp
Hongera baba mtoto kwa kumchagulia mwanao mama bora
2026-07-19 08:37:14
1053
fema B4 :
usipandikize maumivu kwa mtoto changamoto yako na mwenzio kisihusishe mtoto.mungu akujalie hekima na usiri.
2026-07-20 08:55:30
322
Judy madimpo😍🎀♥ :
yanii mimi nimekimbiwa nina mimba ya mwezi mmojaa jamani kila sikuu kuliaa mungu anisaidiee mimi kutoa mimba siwezii😭😭😭🙌🏽🙏🏾🧎🏽♀
2026-07-19 13:31:04
210
Richard Kissija :
Kuna nyakati wanaume tunakuwa sehem ya maumivu makubwa sana kw wanawake na watoto, Bnafs nina miaka43 mie na mdogo wangu wa kike mama yetu alifarik tukiwa wadogo sana mama yetu alikataa kutuambia baba yetu kutokana na ukatil aliofanyiwa tumeisha sku zote hatumjui baba yetu ila leo hii tuna familia zetu na watoto Mungu katupatia Kila nikiwaangalia wanangu wanavyonipenda na kunikumbatia huwa nalia kw maumivu yakutokumjua baba ila kw umri nilio nao sihitaj kumjua tena kw maan upendo kw mtoto na malez bora ni huo umri wa miaka2 mpak teenageers (11+), Kw hyo dada mlee mwanao ktk njia impasayo naye kamwe hataiacha hata km atakapokuwa mzee, Inuka Jipe moyo wewe ni shujaa....🙌
2026-07-22 09:40:42
112
Pio _Sebastian :
Hongera baba wa mtoto kwa kumchagulia mtoto mama bora.
2026-07-19 12:46:57
163
Barnaba_the_second :
kwenye hii nafasi ya baba kwa mtoto wamama wengi Hua wanatupia mzigo kwa baba atakama shida ipo kwao na wanapandikiza sana chuki. MUNGU tusimamie Wababa Wote Duniani🙏
2026-07-20 05:21:32
56
Black 7 :
alikua na baba wangap?
2026-07-20 03:51:38
59
Samwel Kavishe :
Ila wanawake kwa kulalamika bwana dah😁😁 sisi watoto tuliachwa na baba na nikakua nikamtafuta mzee wangu na tunaongea safi hakuna kupandikiza watoto chuki mzee
2026-07-20 06:15:07
67
Neema Emanuel :
mi siamini wanaume wte maan at bba yngu akua bora kwangu
Mtoto yeyote aliyeko kwenye mikono ya mwanamke,Yuko mikono salama,
jiamini,jitie nguvu,pambana na kutafuta live, mambo yatasonga
2026-07-21 07:21:25
10
najmapendo :
wala haup pekeyako tupo wengi tulojichangany kweny hilo
2026-07-20 14:55:56
12
danieljaphetmiboki :
Naona hili jambo mnalivumisha sana ila Kaa angalia na wewe ulikosea wapi don't blame men's always, na sisi pia wanaume tunakwama pahala 'cause this is not the life we meant to create for innocent blood like this, lakini pia bado unaweza tengeneza na MUNGU awapiganie nyote, 💪💪💪💪
2026-07-20 05:43:42
8
caesarscocer :
Nimezaliwa nikalelewa na mama pekee mpaka nimemaliza elimu ya juu na kuna wakati nilimuhitaji baba ila hakuwepo na hajawahi kuwepo lakini pamoja na msoto tulopitia sijawahi sikia mama akimsema mama vibaya zaidi alitusisitiza tu kuwa na adabu na kufanya kazi kwa bidii leo niko hapa Mama Anakula na kuvaa apendacho
2026-07-19 12:14:57
11
Terabyte Guide :
Hongeraa baba kwa kumchagulia mwanao mama bora mwenye chuki na ww
2026-07-22 10:27:26
6
elizabethsarah :
hamjui maumivu anayopitia mpaka ukaamua kushea hum Ili apate faraja wengi mnamuhum ila kumbuka tunatofautiana ktk kubeba maumivu.
2026-07-20 10:05:52
16
La Tanzaniel :
unadhani wanadamu tutakusaidia zaid ya kukusema???
mwamini Mungu tu atafany njia wala usiwahadithie watu
2026-07-19 06:02:39
6
Esther Julius ndege :
huyo bab sio bora kwako sababu wew ndio ulikosana nae huyo mtoto hayamuhusu huyo bab ni bora sana san kwake sababu ndie alisababisha huyo mtoto akatokea so msipende kujengea chuki watoto na bab zao hata Kam hawawajali Kwa lolote ndio bab tayari sa utafanyaje
2026-07-25 10:54:35
5
misluluamislulua :
ooh jmny inaumiza saana,wwe ni superwoman Amini ilo
2026-07-29 13:37:41
0
msuma47 :
Siku zote Mama bora anatokana naubora wababa kumchagulia mtoto Mama bora Hivyo usimpe mtoto maneno magum yakumchukia baba yake Hamna baba mwingine zaidi yake..Mungu akulinde Inshaallah
2026-07-22 09:31:59
5
JONIJO OUTFITS :
Nasiku ukitaka kusema story nzima useme hadi pale ulipokua unasema tam usiruke neno sawa🙏🙏
2026-07-20 07:14:22
6
Dee brand🦋 :
sikupata mume bora lakn nashukur mungu ni baba bora kwa mtot wangu🥰
2026-07-19 07:13:19
31
Ider💜 :
😭😭😭😭imejua kuniliza
2026-07-18 12:03:42
8
Charles mahowa :
umezngua sister ni life tuu
2026-07-19 06:13:12
8
Isaack artz :
mimi baba na mama angu waliachana 2008, tulibaki kwa baba ila hatujawahi kumsikia mzee akisema ugomvi ni nini, ila tukikutana na mama mda wote baba yenu alikuwa hivi 😂.. sasa mama kakutana na vichwa vibovu huwa tunamwambia hayo ni yenu na hayatusaidii wala hatuhitaji kuyafahamu bas mama huwa anamind..🤣😁
2026-07-20 00:08:46
40
user1139552191753 :
mm nimesha jitolea kwako naomba uwaminifu plz
2026-07-19 13:20:15
15
To see more videos from user @phinamango2, please go to the Tikwm
homepage.