@mawest.tz: JAMANI MBONEKE KANIIBIA CONTENT NAOMBENI SUPPORT ZENU KUPATA HAKI YANGU #tanzaniantiktok🇹🇿 #trending #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #mboneke_comedian

Mawest
Mawest
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 07:40:15 GMT
134506
5807
245
28

Music

Download

Comments

samweli.mying
samweli myinga :
Duuu aroooo kweli broo 🥲
2026-07-18 09:49:05
1
cal.cortex
CAL CORTex :
kaka content cy kaz
2026-07-18 11:45:20
0
hamida2842
Ha Mi Da :
anakusapoti tu sio kukudharau
2026-07-18 09:59:59
64
opbaguboy
Baguboy :
ila ukifatilia vzr mboneke ni wa kwanza kuhusu tupo wengi
2026-07-18 12:54:41
32
bey9948
bey99 :
tulio enda kuitafuta content ya mawest ya tuko wengi gusa like
2026-07-18 09:53:02
44
mapunda_27tz
Mapunda_27 :
Shida mpo wengi😂😂
2026-07-18 13:03:45
0
iam_aljoud
JUDDEH🌵✈ :
just keep pushing mzee ndo maisha
2026-07-18 14:32:56
0
boy.kid20
Boy Kid :
kaka usikasilike mboneke hajakuibia kaipenda ndymana kaitumia ila hakuwa na maana hiyoo
2026-07-18 12:46:04
5
oscarrafael473
Oscar Rafael :
wizi?! ko nikiimba nyimbo ya mond nimeiba
2026-07-18 12:38:13
5
shabanikiligo
Daddy Shebby :
asa jamaa si umshukuru pia kwa kupata mtu wa kuona uwezo wako kaka mpaka kaona akuige tafsiri yake ni kaona uwezo wako na atakuleta mjini kaka
2026-07-18 10:02:23
5
aziz2andabwile
INYA BOE :
mshukuru yeye
2026-07-18 12:42:20
1
immathe01
imma the 1 :
tuko wengi
2026-07-18 09:39:14
1
mr.c_llin4.7
._Collin :
kwahio siku izi mtu anamiliki maneno yake na haruhusiwi mwengine kuyatamka bila ruhusa
2026-07-18 13:29:31
6
jsalumlugwisa
J SALUM :
pole sana kaka nilijua tu utsiona hio
2026-07-18 10:15:52
1
charlesmbwilo45
mbwilo Electric cont :
kwanza sio kukuibia ila kakupromot
2026-07-18 16:39:21
1
mtaita_tz
MTAITA :
Amezingua
2026-07-18 09:00:59
1
user72307094754251
denis @@@@ :
kwan yeye anasemaj 🤣🤣
2026-07-18 11:50:00
1
chanderock1
chande rock :
nimefatilia nimefundua ulianza tarehe 16 mwezi wa 3
2026-07-18 16:07:25
2
malickomary1756
Malickomary :
tuko wengi 😂😂
2026-07-18 07:52:06
1
barber.max13
Ain Maxwell :
hatali xn 😔
2026-07-18 09:14:30
0
www.mohamedrajab.com
😮 :
kapita na brand
2026-07-18 08:41:05
1
wiliamliston
WIZHO 🇹🇿 :
Huyu jamaan hanaga content ndo maana anazidiwa na bravoo bro usikate tamaa unatutia moyo saana.
2026-07-18 08:42:55
4
stephenmtumbuka_show
Stephen Mtumbuka :
kaza kk
2026-07-18 10:40:49
1
mollelfamily1
YUZZO🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇹🇿 :
mc mboneke amezingua sana hiyo sio support ni kuishiwa idea
2026-07-18 12:52:05
1
issack.samwel5
Issack Samwel :
Take it easy usimaind mwanangu ni maisha tu
2026-07-18 13:50:26
0
To see more videos from user @mawest.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About