@mbasha_tv: Dunia haina shida na wasomi ina shida na waaminifu je wew ni mwaminifu? #joelnanauka #waziriwavijanananauka #motivation #mbashatv #SerikaliBora

Mbashatv
Mbashatv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 07:52:50 GMT
11306
401
12
51

Music

Download

Comments

damianandrew71
Damian :
kweli uhaminifu umenifikisha mbali sana
2026-07-20 05:41:38
1
edwardpondo
Edward :
ccm Ina shida na wasomi
2026-07-19 14:45:50
1
hamadimsuya8
KIYA BNO :
kweli muheshiwa shikamoo
2026-07-18 16:12:31
1
budaalpha
Buda Alpha👊 :
kwamfano binafsi nakupenda ubahalia natamani nikasomee ila inashindikana kwa7b Sina chet cha fom4..
2026-07-19 13:02:16
0
zefakibikizefakib
zefakibikizefakib :
kweli
2026-07-19 14:46:09
0
user24024190945116
user24024190945116 :
sahihi kabisa ✅✅✅✅✅✅
2026-07-19 13:41:50
0
user91941513171468
user91941513171468 :
sawa kbc bora sikupotenza muda
2026-07-18 19:09:14
0
budaalpha
Buda Alpha👊 :
kama niivyo mbn sisi wadalasa la7 tunatwengwa hata kwenye kazi zakizalendo jeshi na nyenginezo????
2026-07-19 13:00:41
0
hamadimsuya8
KIYA BNO :
mungu akubariki sana muheshiwa shikamoo
2026-07-18 16:12:40
0
majingeii0
veracity :
😁😁😁 tatizo wasomi wengi ndiyo wezi,wachoyo,wabaguzi,washenzi,ila siyo wasomi wote wako hivyo.😁😁😁
2026-07-20 12:59:29
0
julius.gerady
Julius Gerady :
ndo mnazid kutuchanganya bora nibaki na harimashauli ya kichwa changu tukisoma hatuitajiki tukiacha wasomi wanatakiwa
2026-07-19 19:13:56
0
waziriitambu
waziriitambu :
nyie mnaosema mbona hamendani na manenoyenu
2026-07-20 14:29:32
0
To see more videos from user @mbasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About