@nyamihasisihaka: Kocha Julio ametukumbusha yaliyotokea kwenye mchezo wa Watani wa jadi Simba vs Yanga tarehe 20/10/2013 #fyp #foryou #foryoupage #tanzaniantiktok🇹🇿 #viral
Yaani Julio inatakiwa Simba wampe nafasi ya ushauri ya kidumuvkwenye uongozi wa simba
2026-07-18 13:40:27
24
Roger MOO_26 :
kwahiyo Julio ametoa Code Kisha kaifungua mwenyewe kwamba walitufungisha na ndio haohao wakatufungia magoli😂😂
2026-07-18 14:20:53
16
Thinklaugh :
Hata ile 5:1 ni dola kadhaa zilitembea unakuta.
2026-07-18 20:53:50
6
Kwimba_Finest :
Leo ndo nimemwelewa Julio
2026-07-18 13:57:59
8
Yussufbayu :
Julio
2026-07-18 11:55:35
4
Hemed Salm :
Julio Simba damu inabidi awepo kwenye bench pale
2026-07-18 18:38:54
6
Mucci Tro :
hii game ilikua balaa kipind cha kwanza walizimia simba cha pili ikawa zamu ya Utopolo
2026-07-19 09:37:31
1
BoyAlone :
naikumbuka hii watu walizimia sana baada ya magoli kuludi
2026-07-19 09:04:19
1
Popaa +255 TERRY BOY :
huyo ndio mtaalam julio😁😁
2026-07-19 08:26:58
1
Sleezyhitmaker_ :
hizi stori nzuri usiache kutuletea tena na tena
2026-07-19 09:32:38
1
ABDALLAH BIGO :
kaka julio
2026-07-18 11:48:07
4
kiladyana@16 :
Huyu ndy SUPER JULIO ALBERTO PEREIRA TOLINO.
2026-07-19 15:30:45
1
Sanator George X2 :
Julio Bingwa sanaaaaa
2026-07-18 13:18:15
2
fungobariki :
Julie pereilla🫡
2026-07-18 14:22:53
1
Mike :
kocha julioooo
2026-07-18 17:43:10
0
Jisinza Jr🦁🦁🇹🇿 :
MWAKA 2013 mwezi wa 10
2026-07-18 16:36:42
0
Mussa :
Kocha 👏👏
2026-07-18 12:44:31
0
NezyBen :
Umetisha Julio
2026-07-18 11:41:41
7
Vin kucci :
pereirra
2026-07-18 14:37:44
0
iglla yanke :
nililia sana kaka
2026-07-18 17:41:59
0
KATUNI 56 🛣🚛🦺 :
2013 hiyoo
Mechi ya mtani jembe dadekii 😁
Nakumbuka nilikuwa vijibweni soweto msikitini, niko na Mzee simba tuna sikiliza Tbc taifa, mungu amrehemu huko aliko...
Mpka alipata presha kipindi cha kwanza akawa anatokwa na jasho kwenye miguu..
2026-07-18 17:27:28
5
Alpha222🇹🇿 :
mtu akiwa anasimulia stor muwe mnamuacha amalize ndo muulize maswali yenu,, mnazngua sana
2026-07-18 13:20:00
12
Ahn feng'li :
humudi ndo aliuza sana ile mchi
2026-07-18 13:58:21
4
silenthunter :
mtan jembe ile mech afu simba tulikuwa pungufu
2026-07-18 17:11:39
1
To see more videos from user @nyamihasisihaka, please go to the Tikwm
homepage.