@badawiy.media: ALHAMDULILLAH ! Allah Hatupi mtihani ila kuna kitu anatufundisha Tangu jambo la sheikh walid kutenguliwa Kutoka katika nafasi ya sheikh wa mkoa , Kuna mambo yandani ambayo Kitengo cha utenguaji hawakufikiria kama yanaweza kufikia hapa , tuendeleemi kutega sikio kuskia kila kitu ndio kujifunza 🙏✊#millionviews #tiktok #trending #fyp #foryoupage

Badawiy Media
Badawiy Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 08:02:57 GMT
169513
10568
695
459

Music

Download

Comments

green_hunter25
green_hunter25 :
ahsanteeeeeeeeee
2026-07-18 15:18:19
1
mwanashamajid
Majid :
video fully tunaipata wp
2026-07-18 16:31:12
1
miggo.single
Miggo Single :
respect warid
2026-07-18 19:27:56
0
mohdhusain748
kaka :
Tell them , it's not good
2026-07-19 01:47:20
1
iddiabuu39
iddiabuu39 :
mashekhe wawili ndio nawasikilia OTHMAN MAALIM na WALID hawa hunituliza moyo sana
2026-07-18 13:35:30
162
claudeniyonkuru772
claudeniyonkuru772 :
Asante 😃😃
2026-07-18 19:20:08
0
rehma.omary4
Rehma Omary :
kwaiyo shekhee ameingilia mambo yao ndio mana awamtaki
2026-07-18 14:50:12
89
lutfia7338
Lutfia :
Dawa nikumsusia aliechukua nafac ya sheihk Walid kwa chochote atachokifanya
2026-07-18 13:05:07
52
princess.ashbby.r
Princess Ash-bby RamadhaniOg :
kwan bakwata ndo ninii...me nimemdai mume wangu taraka kanambia niende bakwata
2026-07-18 13:13:19
27
aisha.hussein560
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Nimegundua leo bakwata kuna wanafiki wakubwa alafu ni mashekhe wakubwa😏
2026-07-19 09:32:58
13
ally_kessy
ally kessy🇹🇿 :
MARA PAA SHEIKH WALID ATANGAZWA NAIBU MUFTI MKUU WA TANZANIA
2026-07-18 22:36:51
14
s.sur63
Amina shabani :
Tupooo na sheikh waridi hadi kieleweke
2026-07-18 13:58:11
17
ligaventures
REBORN FASHION🕺🛒🛒 :
camera Man vp mbn unatusumbua ..😳
2026-07-18 13:20:19
9
ally.mo863
Ally Mo :
2026-07-18 13:42:29
5
dasherryfaa
Farhat Sharifa :
ukienda kudai talaka bakwata unazungushwa mwisho wasiku wanakutongoza niliwah twenda nkashnda ckurud tena nkaamua kukimbia mwenye bila talaka adi xx npo huru na mdogo wngu nae aliend kaishiwa kutongozwa na shekhe alio mpokea😃
2026-07-19 05:10:46
11
user9923136355697
aaliyah :
dah yaani kiukwel nimeumia sana
2026-07-18 11:31:14
6
abdurahmanchitawa
Abdurahman chitawala :
Ndyo hivyo tunamtaka sasa sheikh wetu walid wallah
2026-07-18 08:50:17
6
sabramuccadam
SabraMuccadam :
WANATAKA MTU MNAFKI HAWATAKI MKWELI
2026-07-18 13:20:46
5
saidizuberi315
Saidi Zuberi :
Allah atup mwish mwem
2026-07-18 18:45:39
6
user4550054092408
Twaibu msaji :
Tunamtaka sheikh walid Alhad wakawambwa aaaaaaaaaaa
2026-07-18 19:41:31
5
user5449078174333
hafsa :
Yaarabbi inusuru dini yetu
2026-07-19 06:41:11
1
mo_vibes01
Mo :
TUNAMTAKA SHEIKH WALID
2026-07-19 06:15:19
1
mnyonge31
Mnyonge :
binafs nuomba rais wetu alisimamie hili binafs naomba shekhe Waldi aludi nafasi yake .hata kama rais ausiki na misimamo ya bakwata ila anauwezo wa kusikilizwa .yy ndio mkuu wetu wa nch
2026-07-19 12:07:32
1
mnyonge31
Mnyonge :
kwa kweli tunamuitaji shekhe wetu
2026-07-19 12:08:02
1
To see more videos from user @badawiy.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About